Uhakika Points 3 Leo, Gape La Points 12 Loading..
Naungana nawe Mkuu. Points tatu leo ni muhimu mnoo.Uhakika Points 3 Leo, Gape La Points 12 Loading..
Tukishinda sio tuna wazidi point 13?? AuUhakika Points 3 Leo, Gape La Points 12 Loading..
Game saa ngapi?
Sana Mkuu Wasituzoee Kabisa Hapo KileleniNaungana nawe Mkuu. Points tatu leo ni muhimu mnoo.
Nabi Leo Ushindi TuKwa kuwa leo Nabi karudi kwenye benchi basi tunategemea walau watuwekee kukosi cha kueleweka ili game tuimalize mapema mana wanajuaga kukamia sana hawa.
Tunaeza waona hawako vizuri now ila wakatukosesha points zetu mbili.
Itakuwa poa sana aisee.Nabi Leo Ushindi Tu
Season hii tunawafanyia ukatili wa hali ya juu. Namba 1 wataisikia tu. 🤣🤣🤣Sana Mkuu Wasituzoee Kabisa Hapo Kileleni