Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20220509_112922.jpg
 
Kwa kuwa leo Nabi karudi kwenye benchi basi tunategemea walau watuwekee kukosi cha kueleweka ili game tuimalize mapema mana wanajuaga kukamia sana hawa.

Tunaeza waona hawako vizuri now ila wakatukosesha points zetu mbili.
 
Back
Top Bottom