Hii ni mpira usidhani kila siku utashindaNadhan timing itakuwa ya ajabu Sana itamaliza ligi bila kufungwa lakn ubingwa tutaupoteza
Hakika n maumivu mazito sana
Timu ya ubingwa haitoi sare 3 mfululizo labda ipigwe 1 ishinde mbili sio sare 3 ambazo n sawa na kupoteza point 6Hii ni mpira usidhani kila siku utashinda
Hujui mpira!Timu ya ubingwa haitoi sare 3 mfululizo labda ipigwe 1 ishinde mbili sio sare 3 ambazo n sawa na kupoteza point 6
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] mtani nakusalimia.Kwa kuwa leo Nabi karudi kwenye benchi basi tunategemea walau watuwekee kukosi cha kueleweka ili game tuimalize mapema mana wanajuaga kukamia sana hawa.
Tunaeza waona hawako vizuri now ila wakatukosesha points zetu mbili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeanza kupagawa mapema hivi mlongo? Hebu kuweni wapoleee mambo mazuri yanakuja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhan timing itakuwa ya ajabu Sana itamaliza ligi bila kufungwa lakn ubingwa tutaupoteza
Hakika n maumivu mazito sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukutane mwisho wa msimu mkuu ndyo utajua namaanisha nnHujui mpira!