Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20220509_194936.jpg
 
Nadhan timing itakuwa ya ajabu Sana itamaliza ligi bila kufungwa lakn ubingwa tutaupoteza

Hakika n maumivu mazito sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kuwa leo Nabi karudi kwenye benchi basi tunategemea walau watuwekee kukosi cha kueleweka ili game tuimalize mapema mana wanajuaga kukamia sana hawa.

Tunaeza waona hawako vizuri now ila wakatukosesha points zetu mbili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] mtani nakusalimia.
 
Nadhan timing itakuwa ya ajabu Sana itamaliza ligi bila kufungwa lakn ubingwa tutaupoteza

Hakika n maumivu mazito sana
Mmeanza kupagawa mapema hivi mlongo? Hebu kuweni wapoleee mambo mazuri yanakuja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashabiki wa utopolo mkuje hapa, msijifanye hamuuoni huu uzi.
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutana na Daktari Henock Inonga Baka, ni bingwa wa kutibu maradhi sugu ya degedege, kifafa na kutetemeka hovyo, yeye ni mtaalamu haswaaa na anatoa matibabu kwa uhakika zaidi. Anapatikana pale msimbazi Hospital. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom