Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kinacho shangaza pamoja na kwamba tupo nyuma kwa points 8 lakini timu iliyotuzidi hizo points haina furaha kabisa ina wasi wasi mkubwa sanaIla mna mioyo ya kipekee aisee. Yaani mko nyuma points nane lakini mnajiona kama ndo mnaongoza ligi vile. Lol.