Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Utopolo na akili zao
FB_IMG_16519909813813161.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Na kama huyu sijui kama hatoleta maringo.
Yan mi nikiona jinsi tunavyochelewa kuwaongezea mikataba nawaza mambo ya kuanza kusajili mabeki wapya na obviously lazima atakua wa kigeni mpaka aje akae sawa na mashindano makubwa yanaendelea yatakua kama ya msimu huu tukatolewa mapema sana.

Ingependeza hiki kikosi kilichopo kibaki hivi hivi halafu kiongezewe nyama kidogo hapo tutaweza ku compete kimataifa vizuri
 
Na hivyo ndo inaweza kutokea sababu hii chelewa chelewa unakuta ameshasaini pengine.

Hakika. Japo usishangae hawa wanaofanya vizuri GSM ndo akawauza mwakani na kuja na kauli ya kwamba tutasainisha wazuri zaidi ambapo inakuwaga kama kutia mkono kizani.
 
Binafsi kutoka moyoni nakosa imani na GSM kwa 100% mi naona ni kama wako kibiashara sana.

Mtu kama Mwanyeto makolo wanaweza kumchukua ili mradi watukomoe
 
Afadhali ameongeza. Bado kwa Mwamnyeto
Wachezaji wote wenye uwezo hakuna kiongozi mwenye AKILI TIMAMU anaweza kuwaacha, that is equally true for Bakari na wengine ambao Utopolo wanawaona watawafaa, ila kumbukeni kuwa huyo Kibwana na hata Bakari hawakuzaliwa hapo matopeni bali walitokea huko waliko tokea, hivyo uangalifu ni muhimu katika kuwalinda wasije wakawatoka kama walivyo watoka Coastal sijui na wapi alipotokea Kibwana. Ila kumbukeni MONEY CAN BUY ANYBODY! Kila la heri katika kuukimbilia "ubingwa"!
 
Back
Top Bottom