Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ila mna mioyo ya kipekee aisee. Yaani mko nyuma points nane lakini mnajiona kama ndo mnaongoza ligi vile. Lol.
Kinacho shangaza pamoja na kwamba tupo nyuma kwa points 8 lakini timu iliyotuzidi hizo points haina furaha kabisa ina wasi wasi mkubwa sana
 
Pole sana Mtani. Niseme tu haya ni matumizi mabaya ya akili. 😀😀

Hivyo zile Special threads za timu za ulaya mule ndani ni manung'uniko tu yapo? 🤣

Semeni tu hampo kisasa na uzi wenu. Teh teh.
Ni tofauti sana, kinachojadiliwa kwenye special threads za ulaya na kinachojadiliwa humu


Humu kuna pages ambazo imeisha zikiwa na post zote zakwako peke yako

Hamna ishu ya msingi ambayo humu mnaijadili zaidi ya kupost post mapicha (tena shuhuli nzima ukiifanya wewe)

Yanga wakupe kongole kwa hilo kwani 85% ya huu uzi ni post zako
 
Mdogo mdogo humu tutabadilika pia. Nyie yenu yamalizieni kwenye Live updates.

Na hii yote ni vile threads za timu za ulaya Updates za game nyingi wanaweka mule tofauti na sisi huku.
 
Nimezipokea Mtani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ubingwa bado upo japo naona aka kabundi ka sare kanataka kutuandama.
Mtani acheni mentality ya kutaka mayele afunge ili awe MVP, itawa cost sana, kila mchezaji akipata nafas ya kufunga muacheni afunge,. Jana mlikua na mabao 2 ya wazi.

Fei toto badala afunge anampa mayele, Djuma shaban anataka kupiga penalt, ntibanzokiza anampora na kumpa mayele, huku mayele nae akiwa ktk pressure kubwaa.

Ubingwa wenuu huu, mkiukosaa aaaah sijui mtasema nn tena.
 
Hahahaaaa. Sio uongo eti.

Tutakuwa wajinga kupitiliza ikitokea mkawa Mabingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka huu ubingwa ni wenu, sisi match za Away huwa tunaambulia sare tyuuh.

Labda wenyewe msitake kuutwaa huu ubingwa.
 
Ikitokea mmekosa ubingwa! Mtamlaumu nani? Jamhuri ya Muungano😉😁
Ubingwa upo Binamu sema tu vichangamoto kama hivi haviezi kosekana sababu kama ujuavyo vitimu vidogo huwa vinakamia sana.

Na pia kama jana haikuwa tu bahati yetu angalia statistics hizi. Kucheza tumecheza sana tu ila magoli ndo yalikataa kuingia.
 
Meseji iwe fupi🤣Si reafa wa Tanzania Prisons kukataa kununulika😆
 
Sasa wewe kina kuuma nini?
 
Statistics za PEMBENI ndiyo muhimu!Acha kujipa matumaini, mambo ni moto kwa wote hata hao unao waita timu ndogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…