CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 648
Uzuri ni kwamba haitatokea...View attachment 2218942
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kweli ligi sasa inakuwa NGUMU HADI MAYELE ANASHINDWA KUFUNGA! Kweli mambo ni magumu sana hata penalite ANATETEMEKA AU ALITETEMA na kuipeleka CHANG'OMBE!Uzuri ni kwamba haitatokea...View attachment 2218942
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mkataba hua una ongezwa mda wowote huo sio usajiri
Ooh! Nimeelewa sasa.Mkataba hua una ongezwa mda wowote huo sio usajiri
Atakuwa kaongeza mkataba.Jamani naomba kueleweshwa ndo kipindi cha usajili kimeshafika au mi ndo sielewi?
View attachment 2220293
Afadhali kama uongozi uliliona hilo hapo tumewaachia maumivu sasa.Atakuwa kaongeza mkataba.
Makolo walikuwa wanamsumbua hadi kwa wazazi wake
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Afadhali ameongeza. Bado kwa MwamnyetoJamani naomba kueleweshwa ndo kipindi cha usajili kimeshafika au mi ndo sielewi?
View attachment 2220293
Uongozi ujitahidi umuongeze naye japo wachezaji kama wale wanaringaga sana saa ingine usishangae akatuhenyesha kweli mpaka kuipata saini yake.Afadhali ameongeza. Bado kwa Mwamnyeto
Wengi huwa wanaringia kwenye signing fee, wanataka hela kubwa zaidiUongozi ujitahidi umuongeze naye japo wachezaji kama wale wanaringaga sana saa ingine usishangae akatuhenyesha kweli mpaka kuipata saini yake.
Na kama huyu sijui kama hatoleta maringo.Wengi huwa wanaringia kwenye signing fee, wanataka hela kubwa zaidi
Akileta jeuri anaachwa akawe kama Gadiel Michael, Ajib na KakolonyaUongozi ujitahidi umuongeze naye japo wachezaji kama wale wanaringaga sana saa ingine usishangae akatuhenyesha kweli mpaka kuipata saini yake.
Hakika! Hivi na pale nyuma ni nani ambaye anacheza namba kama yake?Akileta jeuri anaachwa akawe kama Gadiel Michael, Ajib na Kakolonya
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Yan mi nikiona jinsi tunavyochelewa kuwaongezea mikataba nawaza mambo ya kuanza kusajili mabeki wapya na obviously lazima atakua wa kigeni mpaka aje akae sawa na mashindano makubwa yanaendelea yatakua kama ya msimu huu tukatolewa mapema sana.Na kama huyu sijui kama hatoleta maringo.
Na hivyo ndo inaweza kutokea sababu hii chelewa chelewa unakuta ameshasaini pengine.Yan mi nikiona jinsi tunavyochelewa kuwaongezea mikataba nawaza mambo ya kuanza kusajili mabeki wapya na obviously lazima atakua wa kigeni mpaka aje akae sawa na mashindano makubwa yanaendelea yatakua kama ya msimu huu tukatolewa mapema sana.
Hakika. Japo usishangae hawa wanaofanya vizuri GSM ndo akawauza mwakani na kuja na kauli ya kwamba tutasainisha wazuri zaidi ambapo inakuwaga kama kutia mkono kizani.Ingependeza hiki kikosi kilichopo kibaki hivi hivi halafu kiongezewe nyama kidogo hapo tutaweza ku compete kimataifa vizuri
Binafsi kutoka moyoni nakosa imani na GSM kwa 100% mi naona ni kama wako kibiashara sana.Na hivyo ndo inaweza kutokea sababu hii chelewa chelewa unakuta ameshasaini pengine.
Hakika. Japo usishangae hawa wanaofanya vizuri GSM ndo akawauza mwakani na kuja na kauli ya kwamba tutasainisha wazuri zaidi ambapo inakuwaga kama kutia mkono kizani.
Wachezaji wote wenye uwezo hakuna kiongozi mwenye AKILI TIMAMU anaweza kuwaacha, that is equally true for Bakari na wengine ambao Utopolo wanawaona watawafaa, ila kumbukeni kuwa huyo Kibwana na hata Bakari hawakuzaliwa hapo matopeni bali walitokea huko waliko tokea, hivyo uangalifu ni muhimu katika kuwalinda wasije wakawatoka kama walivyo watoka Coastal sijui na wapi alipotokea Kibwana. Ila kumbukeni MONEY CAN BUY ANYBODY! Kila la heri katika kuukimbilia "ubingwa"!Afadhali ameongeza. Bado kwa Mwamnyeto
What is this supposed to mean or aim at saying?!