ushindi ukawe mbele yenuKila la kheri Timu ya Wananchi.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"
Daah Mi Nilikuwa Najua Ni Saa Moja MkuuKila la kheri Timu ya Wananchi.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"
Ujue watu wengi walijua hivyo. Muda ulibadilishwa Mkuu.Daah Mi Nilikuwa Najua Ni Saa Moja Mkuu
Ahsante Mdogo wangu. Ushindi muhimu kwetu leo.ushindi ukawe mbele yenu
Sikupata Taarifa Mapema Mkuu, Ila Kikosi Cha Leo Mh [emoji23]Ujue watu wengi walijua hivyo. Muda ulibadilishwa Mkuu.
Hivi hao walio nje wana shida gani au ndio wanatest mpaka wakija kushituka game imeisha kwa suluhu. 🙁🙁Sikupata Taarifa Mapema Mkuu, Ila Kikosi Cha Leo Mh [emoji23]
Moja Ambundo lingine Mauya kampigia Kipa akautemea golini.Magoli kafunga nani
Wamefungwa Dodoma jiji ila kuna watu pembeni wanaumia
Na wanaumia zaidi wakiona points leo zimeongezeke badala ya 8 zimekuwa 11 🤣Wamefungwa Dodoma jiji ila kuna watu pembeni wanaumia
Maisha haya [emoji23][emoji23]
Kocha Kasema Walikuwa Hawaendani Na Uwanja Eti [emoji23]Hivi hao walio nje wana shida gani au ndio wanatest mpaka wakija kushituka game imeisha kwa suluhu. [emoji853][emoji853]