Hahahaaa. Wacha kuungue Mkuu na hapo bado hawajaanza kuvurugana wenyewe kwa wenyewe. ππNa Nasikia Huko Bw.Pabulo Karushiwa Mabegi Nje Usiku Wa Manane, Nchi Ngumu Hii [emoji1787][emoji1787]
Watachapana Bakora Pale Msimbazi [emoji23]Hahahaaa. Wacha kuungue Mkuu na hapo bado hawajaanza kuvurugana wenyewe kwa wenyewe. [emoji23][emoji23]
Wataanza na yule Mzee aliyetabiri kuwa watafungwa. ππWatachapana Bakora Pale Msimbazi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wataanza na yule Mzee aliyetabiri kuwa watafungwa. [emoji23][emoji23]
Tangu tuingie huu mwaka 2022Huyu ndiye mchezaji Wa kwanza duniani kusababisha watu watimuane klabuni![emoji23][emoji23]
View attachment 2247873
Kocha la Real MadridNa Nasikia Huko Bw.Pabulo Karushiwa Mabegi Nje Usiku Wa Manane, Nchi Ngumu Hii [emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Lol.Tangu tuingie huu mwaka 2022Huyu ndiye mchezaji Wa kwanza duniani kusababisha watu watimuane klabuni!
Nikasikia jana eti wanadai hana uzoefu na soka la Afrika. ππππKocha la Real Madrid
Mwaka Huu Hatujaacha Kitu, Kocha Lenye CV Kubwa [emoji23]Kuna timu bingwa Ila inaanza round ya 1 Ila wa nafasi ya 2 anaanza round ya 2[emoji23][emoji23][emoji23]
Mara Hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikasikia jana eti wanadai hana uzoefu na soka la Afrika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha haaaaaaa hahahaha haaaaaaa...Mwaka Huu Hatujaacha Kitu, Kocha Lenye CV Kubwa [emoji23]View attachment 2250301
Watu wasimba mmezoea Sana midomo Kam nyumba ndogo umbea mwingiii kuliko vitendoPole sana Mtani. Niseme tu haya ni matumizi mabaya ya akili. [emoji3][emoji3]
Hivyo zile Special threads za timu za ulaya mule ndani ni manung'uniko tu yapo? [emoji1787]
Semeni tu hampo kisasa na uzi wenu. Teh teh.
Nimeona sehemu ulikuwa wa mwaka na nusu kuanzia April 2021.Wakuu hivi mkataba wa Nabi unaisha lini? Upikua wa miaka mingapi