Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

😂😂
20220602_055549.jpg
 
Kuna timu bingwa Ila inaanza round ya 1 Ila wa nafasi ya 2 anaanza round ya 2[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana Mtani. Niseme tu haya ni matumizi mabaya ya akili. [emoji3][emoji3]

Hivyo zile Special threads za timu za ulaya mule ndani ni manung'uniko tu yapo? [emoji1787]

Semeni tu hampo kisasa na uzi wenu. Teh teh.
Watu wasimba mmezoea Sana midomo Kam nyumba ndogo umbea mwingiii kuliko vitendo
 
Back
Top Bottom