Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Inabidi Uongozi kama ni wa kumwongeza Mkataba umuongeze mapema sababu ndo anakaribia kumaliza huo mwaka na nusu.

Na siku zote lisemwalo lipo.
Na tetesi zinadai amefuatilia sana mkataba viongozi wanahangaika na uchaguzi. Na ameshafungua mazungumzo na timu yeyote inayomtaka.
Na makolo wameanza kumnyemelea
 
Ni nani huyu Mkuu na anacheza nafasi gani?
Mkuu Huyo Anacheza Nafasi Nyingi Uwanjani Kama Yannick Bangala Yaani [emoji23], Anaweza Kucheza Wing Ya Kulia (Namba 7), Wing Ya Kushoto (Namba 11) Na Anaweza Kucheza Nyuma Ya Mshambuliaji Wa Mwisho Yaani Namba 10...Kwa Kifupi Akitua Pengo La Saidi Ntibazonkiza Halitoonekana Maana Na Mipira Iliyokufa Free Kick Na Corner Ni Mpigaji Mzuri Pia.
 
Hahahaaa. Kama ni hivi hapa tunabakia kusema tu Walete walete. πŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Na iwe kweli aisee zile mambo za kuleta wachezaji tia maji tia maji nadhani kwa sasa hazina nafasi.
 
kwa hiyo huyu atakuwa Pacha ako. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#Mzeewakazichafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…