changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Halafu sijui watu wanaakili gani, ukiona mchezaji au kocha ana umuhimu wa kubakia na mkataba unaelekea ukingoni hata ikiwa bado miezi mitano kuisha, kwanini usimuongezee mkataba kabisa kuliko kusubiria hadi ifikie ukingoni kabisa! Na jamaa mpaka leo hawajatangaza kocha kuna kitu kinachoendelea hapo sio bure. Ikitokea wamemtangaza kocha mwingine basi Nabi kawagomea. Yaani tumebakia kungojea busara ya kocha badala ya kulingia pin ya mkataba. DahBado Kocha, Viongozi Wetu Wafanye Mapema Kumbakiza Kocha Wetu Nabi...Maana Kuna Mitimu Inahaha Muda Huu Kutafuta Kocha Na Mojawapo Ya Timu Hizo Inatabia Za Kishirikina Isije Kufanya Balaa Bure Mtu Akasaini Mkataba Bila Kujijua [emoji28]
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app