Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Said Ntibazonkiza [emoji91]
Screenshot_20220615-195441~2.jpg
 
Afu unakuta shabiki ni kolo fc na ulaya ni nyumbu looh..unaweza hisi una laana ya telezaa wa chuga...Mungu akupe nn huku yanga afu ulaya liverpool..kama eng hersi...bata tuu
 
Ooh!! Basi nikawa kama sielewi hivi.

Afadhali kama ndio sehemu ya hayo mabadiliko na tunaombea yawe ni yenye kheri kwa Klabu.
Mfumo wa timu zetu za Simba na Yanga ni kama Madrid na Barca, ni timu za wananchi na sio timu za mtu binafsi hivyo ni lazima ziwe na Rais.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa Yanga furaha mliyonayo leo, simna ilikua nayo misimu 4 ilopita

Haya m relaaaax na mu enjoyyy. Hurrrayyyyyyyyyyyy!!!!!!
 
Back
Top Bottom