The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ya mashabiki wa Simba leo😅😅😅😅Mtani vumilia ivo ivo hayo maumivu uliyo nayo. 😎
Umeshaanza kuongea mwenyewe hapo.
Kibaya zaidi na Ukraine inazidi kuchakazwa. Hakika huu ni mwaka wako wa mateso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani cna maumivu bhanaa,. Yaan msimu huu tyuuh niumie aaah wapi wee.
Wee Enjoyyyyyyyyy!!!
Mayele Anatetema Af Kuna Wengine Wanatetemeka Huko Walipo [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teeeenaaaa? Kwa misimu 4 mfululizo?Kama ni hivyo rudi katika historia tulishawahi kufanya hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaaaaaah???Kiba
Kibaya zaidi na Ukraine inazidi kuchakazwa. Hakika huu ni mwaka wako wa mateso
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo unahisi nyie ndio wa kwanza kwanza kufanya ivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teeeenaaaa? Kwa misimu 4 mfululizo?
Yaaaniiiiiiiii.......Huyu GSM anafaa kushtakiwa.!
Yaani kamchukua pep guardiola halafu kamvalisha kofia eti ndio NABI..yaani anatuonaje huyu?
Hilo kama halitoshi kubwa zaidi katuletea kdb halafu eti kamvalisha mask ndio aitwe sure boy..! Mjue ana ujanja wa kishamba sana huyu..
Kikubwa zadiz na kilicholeta maumivu nchini ni kumleta huyu benzema ambaye sote tunajua hana mzaha na goli, mtu katoka kuchukua uefa juzi tu leo tena unamleta huku yanga..hivi hajui sisi simba tunavyopata tabu, presha, kisonono,kaswende?
Guardiola vua hiyo mask hatutaki ujanja ujanja tunataka fair play wewe sio NABI..
KDB sisi tutakushtaki kwa mabosi zako unachezea team mbili wewe sio sure boy vua hiyo mask tafadhali..
Na wewe benzema hivi hata kama sisi mbumbumbu ndo unadhani hatukujui wewe hata kama umevaa mask ya mayele? Vua tafadhali matatizo uliyotusababishia yanatosha,
Umefanya tajiri yetu ashushe matofali pale bunju..
Inatosha
Hahahaaa! Hata na sie tuliwahi pia ujue.Niko poa kabisa mtani.
Unaona raha tuliyoipata ndani ya miaka 4 mfululizo. Nakutakie furaha njema ila tukutane CCL kuanzia mwezi wa nane.
Hahahaa! Hatari Mkuu.Hali ya mashabiki wa Simba leo😅😅😅😅
View attachment 2262833
Kwa kweeli. 😀Kushabikia makolo ni kujitakia ugonjwa Wa moyo
Nakazia Mkuu. 😂😂Mwamba Kama Vinicius Jr [emoji23], Hivi Ndivyo Mchezaji Anatambulishwa ile Ki Pro Yaani, Sio Kukenua Mimeno Kama Chizi. View attachment 2263175
Nakusalimia Shemela.Yaaaniiiiiiiii.......