[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeona nyumba yangu bwana kwenye hii jezi ya kijani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi Najua Hili Chama La Wananchi Unalikubali Ndo Maana Hukauki Humu Tofauti Kabisa Na Jukwaa Lenu Lile Lililopoa Kama Thread Ya Corona [emoji23]Nakutafuta wee shogaaa kidawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nikuosheee kabisaa, sio kukusuuzaa.
Kihere here chote kwishaaaaaa??? Eti??
Byuti byuti.
Kwakweli, Msimu Ujao Aje Na Kitu Bora Zaidi.Inabidi kuzozowea tu sababu hamna jinsi Ndugu.
Japo huyo designer aongeze ubunifu zaidi.
Mzee wa kazi chafu kinyonge sana mkuu. 🤣🤣🤣🤣Kwakweli, Msimu Ujao Aje Na Kitu Bora Zaidi.
Kwakweli Sikutegemea Nilichokiona Hasa ile Home Kit Na Wala Nilikuwa Siamini Picha Za Hizi Jezi Jinsi Zilivokuwa Zinasambaa, Ujumbe Ulowekwa Kwenye Home kit Ni Mzuri ila Muonekano Wake Sasa Ndo Mtihani, Nadiriki Kusema Home Kit Yetu Ya Msimu Uliopita Ni Nzuri Sana Na Bado Haijachuja Natamani Kama Vp Wangeiacha Tu ile ile [emoji23], ila Poa Tu Lakini Mimi Kama Mwananchi Ntaishi Nayo Japo Kiukweli Kwasasa Sijaipenda Labda Ntaizoeaga Baadae.Mzee wa kazi chafu kinyonge sana mkuu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njano na nyeusi kwangu ni nzuri, hiyo ya kijani hapana. Hivi wachezaji watakuwa wanaweza kukimbia kweli? Maana yale maghorofa sio mchezo.Kwakweli Sikutegemea Nilichokiona Hasa ile Home Kit Na Wala Nilikuwa Siamini Picha Za Hizi Jezi Jinsi Zilivokuwa Zinasambaa, Ujumbe Ulowekwa Kwenye Home kit Ni Mzuri ila Muonekano Wake Sasa Ndo Mtihani, Nadiriki Kusema Home Kit Yetu Ya Msimu Uliopita Ni Nzuri Sana Na Bado Haijachuja Natamani Kama Vp Wangeiacha Tu ile ile [emoji23], ila Poa Tu Lakini Mimi Kama Mwananchi Ntaishi Nayo Japo Kiukweli Kwasasa Sijaipenda Labda Ntaizoeaga Baadae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Daah Af Ndo Ukute Inakuwa Jezi Yetu Ya Bahati Msimu Huu Pamoja Na Kuiona Ni Mbaya Machoni Mwetu.Njano na nyeusi kwangu ni nzuri, hiyo ya kijani hapana. Hivi wachezaji watakuwa wanaweza kukimbia kweli? Maana yale maghorofa sio mchezo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Isikupe tabu, mi naiona poa tu na lazima niwe nayo moja na nyeusi.Kwakweli Sikutegemea Nilichokiona Hasa ile Home Kit Na Wala Nilikuwa Siamini Picha Za Hizi Jezi Jinsi Zilivokuwa Zinasambaa, Ujumbe Ulowekwa Kwenye Home kit Ni Mzuri ila Muonekano Wake Sasa Ndo Mtihani, Nadiriki Kusema Home Kit Yetu Ya Msimu Uliopita Ni Nzuri Sana Na Bado Haijachuja Natamani Kama Vp Wangeiacha Tu ile ile [emoji23], ila Poa Tu Lakini Mimi Kama Mwananchi Ntaishi Nayo Japo Kiukweli Kwasasa Sijaipenda Labda Ntaizoeaga Baadae.
Away ni [emoji91][emoji91][emoji91]Kwakweli Sikutegemea Nilichokiona Hasa ile Home Kit Na Wala Nilikuwa Siamini Picha Za Hizi Jezi Jinsi Zilivokuwa Zinasambaa, Ujumbe Ulowekwa Kwenye Home kit Ni Mzuri ila Muonekano Wake Sasa Ndo Mtihani, Nadiriki Kusema Home Kit Yetu Ya Msimu Uliopita Ni Nzuri Sana Na Bado Haijachuja Natamani Kama Vp Wangeiacha Tu ile ile [emoji23], ila Poa Tu Lakini Mimi Kama Mwananchi Ntaishi Nayo Japo Kiukweli Kwasasa Sijaipenda Labda Ntaizoeaga Baadae.
Alafu kwenye hii ya kijani kuna picha manara anamfokea karia dah[emoji16]Hizi za kijani (home kits) hapana ila hizi nyingine fresh tu. Hapo ubunifu umepitiliza chumvi imekua nyingi kwenye mapishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaah angu, mda wa kuteseka badoo,Kashike ukuta huko
Mtani kwa kweli hata mashabiki wengi wenu wa Yanga wameibezaa.Ila Mtani tumejua kukunyanyasa yaani. [emoji28][emoji28]
Pumzika sasa tuache wavaaji ndo tukosoe japo nikueleweshe sisi watanzania hamna kitu itakuja halafu wote tuseme hapa yeees.
Refer muonekano wa jf. Mwanzoni kila mtu aliuponda kwa sasa waaala unaonekana wa kawaida kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost angu relaaaaax, batiki hizi mtabaa msimu mzima, kwani una haraka gan???Mi Najua Hili Chama La Wananchi Unalikubali Ndo Maana Hukauki Humu Tofauti Kabisa Na Jukwaa Lenu Lile Lililopoa Kama Thread Ya Corona [emoji23]
Batiki hizi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda Kwenye Jukwaa Lenu Kule Mkaongelee Hata Mechi Yenu Ya Juzi Mliyofungwa Na Kikundi Cha Madereva Taxi Wa Misri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost angu relaaaaax, batiki hizi mtabaa msimu mzima, kwani una haraka gan???
Byuti byuti.
Sawa, Si Tunasubiri Izo Za Kwenu Zenye Matangazo Ya Mudi Mpaka Matakoni [emoji23]Batiki hizi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]