Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nakutafuta wee shogaaa kidawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nikuosheee kabisaa, sio kukusuuzaa.

Kihere here chote kwishaaaaaa??? Eti??

Byuti byuti.
Mi Najua Hili Chama La Wananchi Unalikubali Ndo Maana Hukauki Humu Tofauti Kabisa Na Jukwaa Lenu Lile Lililopoa Kama Thread Ya Corona [emoji23]
 
YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB HOME KIT

✅Benjamin Mkapa Stadium
✅Askari Monument
✅Maritime Control They Ower
✅Mountain Kilimanjaro
✅Soko Kuu Kariakoo
✅Kigamboni Bridge
✅Ngome Kongwe
✅Arusha Declaration Monument
✅Nyerere Square Dodoma
✅PSSSF Commercial Complex
✅Bismark Rock

Jezi ya Yanga Sc ya nyumbani imebeba historia ya nchi kiufupi.

Unampa asilimia ngapi @sheriangowi kwa ubunifu huu...?
 
Mzee wa kazi chafu kinyonge sana mkuu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli Sikutegemea Nilichokiona Hasa ile Home Kit Na Wala Nilikuwa Siamini Picha Za Hizi Jezi Jinsi Zilivokuwa Zinasambaa, Ujumbe Ulowekwa Kwenye Home kit Ni Mzuri ila Muonekano Wake Sasa Ndo Mtihani, Nadiriki Kusema Home Kit Yetu Ya Msimu Uliopita Ni Nzuri Sana Na Bado Haijachuja Natamani Kama Vp Wangeiacha Tu ile ile [emoji23], ila Poa Tu Lakini Mimi Kama Mwananchi Ntaishi Nayo Japo Kiukweli Kwasasa Sijaipenda Labda Ntaizoeaga Baadae.
 
Njano na nyeusi kwangu ni nzuri, hiyo ya kijani hapana. Hivi wachezaji watakuwa wanaweza kukimbia kweli? Maana yale maghorofa sio mchezo.
🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Daah Af Ndo Ukute Inakuwa Jezi Yetu Ya Bahati Msimu Huu Pamoja Na Kuiona Ni Mbaya Machoni Mwetu.
 
Tutakuzoea Tu [emoji91]
IMG_20220729_095409.jpg
IMG_20220729_095417.jpg
IMG_20220729_100220.jpg
IMG_20220729_095414.jpg
 
Kwakweli Sikutegemea Nilichokiona Hasa ile Home Kit Na Wala Nilikuwa Siamini Picha Za Hizi Jezi Jinsi Zilivokuwa Zinasambaa, Ujumbe Ulowekwa Kwenye Home kit Ni Mzuri ila Muonekano Wake Sasa Ndo Mtihani, Nadiriki Kusema Home Kit Yetu Ya Msimu Uliopita Ni Nzuri Sana Na Bado Haijachuja Natamani Kama Vp Wangeiacha Tu ile ile [emoji23], ila Poa Tu Lakini Mimi Kama Mwananchi Ntaishi Nayo Japo Kiukweli Kwasasa Sijaipenda Labda Ntaizoeaga Baadae.
Isikupe tabu, mi naiona poa tu na lazima niwe nayo moja na nyeusi.
 
Kwakweli Sikutegemea Nilichokiona Hasa ile Home Kit Na Wala Nilikuwa Siamini Picha Za Hizi Jezi Jinsi Zilivokuwa Zinasambaa, Ujumbe Ulowekwa Kwenye Home kit Ni Mzuri ila Muonekano Wake Sasa Ndo Mtihani, Nadiriki Kusema Home Kit Yetu Ya Msimu Uliopita Ni Nzuri Sana Na Bado Haijachuja Natamani Kama Vp Wangeiacha Tu ile ile [emoji23], ila Poa Tu Lakini Mimi Kama Mwananchi Ntaishi Nayo Japo Kiukweli Kwasasa Sijaipenda Labda Ntaizoeaga Baadae.
Away ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kashike ukuta huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaah angu, mda wa kuteseka badoo,
Yaan sahivi kunywa maji mengi ya uvugu vugu, afu pumzika,
Ukiamka vuta nguvu ya kuhimili maumivu msimu mzima.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti.
 
Ila Mtani tumejua kukunyanyasa yaani. [emoji28][emoji28]

Pumzika sasa tuache wavaaji ndo tukosoe japo nikueleweshe sisi watanzania hamna kitu itakuja halafu wote tuseme hapa yeees.

Refer muonekano wa jf. Mwanzoni kila mtu aliuponda kwa sasa waaala unaonekana wa kawaida kabisa.
Mtani kwa kweli hata mashabiki wengi wenu wa Yanga wameibezaa.

Hapa mkubali Ngowi kawaingiza chaka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost angu relaaaaax, batiki hizi mtabaa msimu mzima, kwani una haraka gan???

Byuti byuti.
Nenda Kwenye Jukwaa Lenu Kule Mkaongelee Hata Mechi Yenu Ya Juzi Mliyofungwa Na Kikundi Cha Madereva Taxi Wa Misri [emoji23]
 
Back
Top Bottom