Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa Kibwana hapo sawa, sio wa kumtegemea mechi za kimataifa na ndiyo maana kuna Lomalisa na Djuma. Yanga hakuna pengo kwa ss kama mbabisha tuupe nafasi muda.
 
Imefikia wapi hii Mkuu?
Naona kimya kimetawala, nmesikia jamaa wanataka wapewe Makambo, ila kiukweli hili dili lingekuwa la kipuuzi sn km Singida wangekubali, yn tubadilishane Moloko na huyo mbrazil ingekuwa wizi. Mm naona tuwape Makambo na Moloko alafu bado mshahara wa Moloko tulipe japo 30%.
 
Mambo zilikuwa mingi kidogo. Hahahaaa. Mkuu umeua kwamba huyo mbrazil ni moto wa kuotea mbali ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…