Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga wanaonekana wanakuwa wazuri kipindi cha pili
Nashindwa kuelewa ni nini inasababisha hiyo hali. Inanihuzunisha kwa namna fulani maana mambo yanaweza kuwa magumu tukikutana na timu zinazojua kuchanga karata vizuri kipindi cha pili. Tunatakiwa tubadilike timu iwe ya moto kwanzia kipindi cha kwanza na nafasi zitendewe haki
 
Mpira ni dakika 90 punguza lawama
 
Wananchi wenzangu nadhani Al Hilal ndo kipimo sahihi kwa sasa kuonyesha ubora wa Kikosi chetu pia huu ndo wakati wa kuonyesha kuwa sasa tupo serious na mashindano ya Kimataifa.

Sioni cha kutuzuwia kusonga mbele ikiwa kila mchezaji atajitoa na kujituma kadri ya uwezo wake na tukautumia vizuri uwanja wa Mkapa kwa kupata matokeo yaliyo mazuri.

"DaimaMbeleNyumaMwiko"
 
Ukweli mtupu mm nina imani kubwa na kikosi chetu. Acha hawa mbumbumbu fc waendelee kubeza timu yetu inayowageuza kila siku kama chapati. Nawaambia kuna watu watabaki midomo wazi kama waneshikwa ugoni. Daima ni mbele
 
Binafsi ninajiamini kwa uwezo wa kikosi chetu katika idara zote kasoro backline tu. Sijui Prof Nabi atafanya maajabu gani kurekebisha lile tatizo la kuruhusu magoli na kurekebisha zile mistakes. Maana kuna muda ni kama tunakua tumejizima data
 
Mbumbumbu wengi wanasahau ubora wa kocha Nabi na bench zima la ufundi. Walichokariri ni ule ubora wa Al Hilal ya miaka ya nyuma na ubovu wa Yanga wa miaka ya nyuma. Ngoja tukawashangaze
 
Binafsi ninajiamini kwa uwezo wa kikosi chetu katika idara zote kasoro backline tu. Sijui Prof Nabi atafanya maajabu gani kurekebisha lile tatizo la kuruhusu magoli na kurekebisha zile mistakes. Maana kuna muda ni kama tunakua tumejizima data
Yaani upande wa beki ndio ilipo wasiwasi, wakianza kukusanywa wanakusanywa tu ovyo ovyo kwa pamoja.
 
Ukweli mtupu mm nina imani kubwa na kikosi chetu. Acha hawa mbumbumbu fc waendelee kubeza timu yetu inayowageuza kila siku kama chapati. Nawaambia kuna watu watabaki midomo wazi kama waneshikwa ugoni. Daima ni mbele
Hakika Mkuu sisi kwa sasa tuwaache wabwabwaje tu.
 
Binafsi ninajiamini kwa uwezo wa kikosi chetu katika idara zote kasoro backline tu. Sijui Prof Nabi atafanya maajabu gani kurekebisha lile tatizo la kuruhusu magoli na kurekebisha zile mistakes. Maana kuna muda ni kama tunakua tumejizima data
Yaani itabidi Nabi atafute muarobaini aisee na mfano mzuri ni ile game na Azam kuna mda hadi nilishindwa kuelewa zile beki zetu kwani zilikuwa zinapinduliwa na wachezaji wa Azam mpaka nikawa najiuliza nini hiki.
 
Mkuu Hiyo Mechi Wale Wasudani Lazima Wapigwe Kama Ngoma Hapo Kwa Mkapa [emoji4]
 
Yaani itabidi Nabi atafute muarobaini aisee na mfano mzuri ni ile game na Azam kuna mda hadi nilishindwa kuelewa zile beki zetu kwani zilikuwa zinapinduliwa na wachezaji wa Azam mpaka nikawa najiuliza nini hiki.
Tunafungwa kwenye mipira ya kutenga (setpieces) hili ni tatizo na wanaweza kutumia hiyo nafasi kutuadhibu
 
Yaani itabidi Nabi atafute muarobaini aisee na mfano mzuri ni ile game na Azam kuna mda hadi nilishindwa kuelewa zile beki zetu kwani zilikuwa zinapinduliwa na wachezaji wa Azam mpaka nikawa najiuliza nini hiki.
Hapo dawa Ni Bangala arudishwe Kati kwenye kiungo mkabaji Basi awe anakata umeme mapema kabla haujamfikia beki za Kati. Bangala anao uwezo mkubwa wa absorb dhoruba zote zikaishia pale Kati.
 
Ni kweli usemalo Mkuu kocha aijaribu hii huenda ikaleta mabadiliko pale nyuma aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…