Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mtani Al hilal wao Group stage n MUST, target yao n ½ final, mtakaa wapi???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rr

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yaani itabidi Nabi atafute muarobaini aisee na mfano mzuri ni ile game na Azam kuna mda hadi nilishindwa kuelewa zile beki zetu kwani zilikuwa zinapinduliwa na wachezaji wa Azam mpaka nikawa najiuliza nini hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Al Hilal watawapindua had foward zenu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaaa! Mkuu tutazilaza na viatu timu mbili kwa mpigo. lol.

Timu Tatu Mkuu Umeisahau Timu Ya TFF Ambayo Yenyewe Haichezagi Uwanjani, Siku Hiyo Winga Kisinda Na Morrison, Viungo Aziz Ki, Aucho Na Feisal, Af Mbele Yupo King Of The Game “Mayele” Wasudani Watapigwa Magoli Mchomoko Pale Kwa Mkapa…Magoli Ambayo Movement Zake Hazieleweki Kipa Anastukizia Tu Kitu Kwenye Neti Dadek! [emoji1]
 
Hahahaaa. Niliisahau hiyo timu ya tatu aisee. lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…