cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mtani Al hilal wao Group stage n MUST, target yao n ½ final, mtakaa wapi???Wananchi wenzangu nadhani Al Hilal ndo kipimo sahihi kwa sasa kuonyesha ubora wa Kikosi chetu pia huu ndo wakati wa kuonyesha kuwa sasa tupo serious na mashindano ya Kimataifa.
Sioni cha kutuzuwia kusonga mbele ikiwa kila mchezaji atajitoa na kujituma kadri ya uwezo wake na tukautumia vizuri uwanja wa Mkapa kwa kupata matokeo yaliyo mazuri.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rr
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app