Hii habari ingekua kwa wale jamaa tusingelalaFoot Africa : Info Football en Afrique - Actu Foot africain
Le football en Afrique sur Foot Africa. Toute l'actualité de la CAN, Coupe du Monde, Ligue des Champions CAF, toutes les infos sur les joueurs africains d'Europe et les clubs d'Afrique, résultats et classements des compétitions en direct, mercato et portraits des joueurs africains.foot-africa.com
Mpigieni kura Fiston Mayele
Sisi tulifunga ngapi?Msimu Uliopita Tulifungwa Magoli Nane Tu Lakini Msimu Huu Mpk Sasa Tusharuhusu Magoli Manne Na Magoli Matatu Kati Hayo Manne Tumefungwa Kwa Mipira Ya Kona Na Free Kick, Safu Yetu Ya Ulinzi Msimu Huu Imekuwaje?
Mwamnyeto arudi Bangala aka #. 6.Msimu Uliopita Tulifungwa Magoli Nane Tu Lakini Msimu Huu Mpk Sasa Tusharuhusu Magoli Manne Na Magoli Matatu Kati Hayo Manne Tumefungwa Kwa Mipira Ya Kona Na Free Kick, Safu Yetu Ya Ulinzi Msimu Huu Imekuwaje?
Ungejibu swali kwanza ingekuwa vizuri hilo swali ni muhimu sana kuliko kukimbia kimbiaSisi tulifunga ngapi?
Ukitaka usifungwe cheza na timu B yako ushawahi ona wapi timu ambayo haifungwi?Ungejibu swali kwanza ingekuwa vizuri hilo swali ni muhimu sana kuliko kukimbia kimbia
Huwezi kumlinganisha na lile popoma la mbumbumbu FCYupo Vizuri Na Mpira Anaujua.
Ni uzembe wetu ndio tumeshindwa kumaliza mechi home. Tumekosa magoli ya wazi sana. Hii sio hatua ya kutaka upate nafasi kumi upate moja bali ni kila nafasi itendee haki. Kingine Nabi hataki kujifunza makosa, haiwezekani timu tokea imeanza msimu kupata clean sheet ni ngumu lakini anaacha kumpanga Bangala kama mkata umeme ili kupunguzia pressure mabeki wetu.Ibenge kajitahidi kuvunja mawasiliano kati ya aziz ki na feisal