Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread


Mpigieni kura Fiston Mayele
 

Mpigieni kura Fiston Mayele
Hii habari ingekua kwa wale jamaa tusingelala
 
Msimu Uliopita Tulifungwa Magoli Nane Tu Lakini Msimu Huu Mpk Sasa Tusharuhusu Magoli Manne Na Magoli Matatu Kati Hayo Manne Tumefungwa Kwa Mipira Ya Kona Na Free Kick, Safu Yetu Ya Ulinzi Msimu Huu Imekuwaje?
 
Msimu Uliopita Tulifungwa Magoli Nane Tu Lakini Msimu Huu Mpk Sasa Tusharuhusu Magoli Manne Na Magoli Matatu Kati Hayo Manne Tumefungwa Kwa Mipira Ya Kona Na Free Kick, Safu Yetu Ya Ulinzi Msimu Huu Imekuwaje?
Mwamnyeto arudi Bangala aka #. 6.
 
Habarini Wananchi [emoji617]
Tunauza 3d visualizer lamps za Yanga
Unaweza kuweka taa hizi chumbani, sebleni au ofisini
Zinatoa mwanga kwa rangi 7 tofauti, unaweza weka rangi moja au ukitaka ibadilike kila sekunde
Zinatumia Usb yake inayokuja nayo au unaweza weka battery za AA
Bei ni 35,000 kwa moja
Tupo Sinza lego
0693225605
Karibuni mno
IMG_0693.jpg
 
LILEPO HAT TRICK [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kama tungeshinda 2-1 hii mechi wangetutoa hawa jamaa kule kwao, ila kwa tokeo hili watajiamini wanatuweza ndipo tutakapowatoa, leo kulikuwa na makosa makosa fulani pale nyuma na hii yote ni kwasababu bado kuna watanzania kule nyuma ambao ni mapepe sn. Yani bora wabongo wakae mbele tu co nyuma na mbele kwenyewe sio namba 9. Tutafute kitasa pale kati kutoka nje.
 
Ibenge kajitahidi kuvunja mawasiliano kati ya aziz ki na feisal
Ni uzembe wetu ndio tumeshindwa kumaliza mechi home. Tumekosa magoli ya wazi sana. Hii sio hatua ya kutaka upate nafasi kumi upate moja bali ni kila nafasi itendee haki. Kingine Nabi hataki kujifunza makosa, haiwezekani timu tokea imeanza msimu kupata clean sheet ni ngumu lakini anaacha kumpanga Bangala kama mkata umeme ili kupunguzia pressure mabeki wetu.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom