Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Cha ajabu Leo nimeota ndoto ambayo najua itatimia tu. Kwa ufafanuzi wako ndio itavokua yaani nimeota Mayele kawapiga kamba mbili naamini lazima tutawawasha goli mbili... Itaisha 2-1 na Yanga ataishangaza Africa.. tusubiri tu [emoji3526] mi Ni nabii
 
Sijaona uzembe popote n Mpira tu
 
Nyie utopolo mnalala mpka sshv mna raha gani waja laana nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Msimu Uliopita Tulifungwa Magoli Nane Tu Lakini Msimu Huu Mpk Sasa Tusharuhusu Magoli Manne Na Magoli Matatu Kati Hayo Manne Tumefungwa Kwa Mipira Ya Kona Na Free Kick, Safu Yetu Ya Ulinzi Msimu Huu Imekuwaje?
Kosa analolifanya Nabi ni kutokukubali kuwa Aucho siyo mkabaji mzuri.Mvurugo huu ndiyo kirusi chenyewe.Hapa akubali tu kutumia safu ya ulinzi ya msimu ulipita,yaani Mwamnyeto na Jobu kati kisha Bangala 6.
 
Jana kocha alipaswa kufanya hivi,
baada ya kupata goli tulitakiwa tubadili aina ya uchezaji kwa kuongeza nguvu kwenye ulinzi.
Substitute ya Faridi na Tuisla haikuwa ya lazima bali angeingia Bakari na kutoka Moloko,kisha Yanick angepanda 6 na Aziz angeenda kulia na Feisal angepanda 10.
Kwa kufanya hivyo tungekuwa na faida ya kuanza kukabia juu.
Mechi za mtoano zinahitaji nidhamu sana katika sehemu zote za uchezaji.
 
KWA SIMBA HII TUNAWAOMBA ARSENAL FRIEND MATCH [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Cha ajabu Leo nimeota ndoto ambayo najua itatimia tu. Kwa ufafanuzi wako ndio itavokua yaani nimeota Mayele kawapiga kamba mbili naamini lazima tutawawasha goli mbili... Itaisha 2-1 na Yanga ataishangaza Africa.. tusubiri tu [emoji3526] mi Ni nabii

Nabii wa matakoni???[emoji2957] we subiri mpigwe tu mrudishe vinyesi vyenu dar hapa muendelee kununua mechi,msio na haya nyie wajaa laana kabisa mavi yenu
 
Azam Media wametoa dau la 200M ili kupata haki ya kuonyesha mchezo wa Marudiano Al hilal V Yanga lakin wamezuiliwa.vyombo vya Habari vinaendeleza jitihada ya kuweka dau lakini matajiri wa Sudan hawataki Mchezo huo uonyeshwe wala Kutangazwa kwenye Redio. taarifa zaidi zitatolewa
 
Daaa hawa jamaa wanaogopa nini mechi ikirushwaa live.. au ndio mganga wao alichowaambiaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…