Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Cha ajabu Leo nimeota ndoto ambayo najua itatimia tu. Kwa ufafanuzi wako ndio itavokua yaani nimeota Mayele kawapiga kamba mbili naamini lazima tutawawasha goli mbili... Itaisha 2-1 na Yanga ataishangaza Africa.. tusubiri tu [emoji3526] mi Ni nabiiKama tungeshinda 2-1 hii mechi wangetutoa hawa jamaa kule kwao, ila kwa tokeo hili watajiamini wanatuweza ndipo tutakapowatoa, leo kulikuwa na makosa makosa fulani pale nyuma na hii yote ni kwasababu bado kuna watanzania kule nyuma ambao ni mapepe sn. Yani bora wabongo wakae mbele tu co nyuma na mbele kwenyewe sio namba 9. Tutafute kitasa pale kati kutoka nje.