Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

JamiiForums1700694119.gif
 
Kuna wakati nawaza, Yanga wana rangi rasmi yaani kijani, njano, nyeudi na blue.

Kwa nini kusiwe na jezi ya blue na nyeusi au blue na kijani?

Ukichunguza sana timu zinazotumia njano na kijani hazina mafanikio sana kivile ukilinganisha na red, blue white au mchanganyiko wa hizo

Duh [emoji23], Kutengeneza Timu Ndio Mpango Mzima, Matokeo Ya Uwanjani Hayasababishwi Na Rangi Za Jezi.
 
Kuna wakati nawaza, Yanga wana rangi rasmi yaani kijani, njano, nyeudi na blue.

Kwa nini kusiwe na jezi ya blue na nyeusi au blue na kijani?

Ukichunguza sana timu zinazotumia njano na kijani hazina mafanikio sana kivile ukilinganisha na red, blue white au mchanganyiko wa hizo
Yanga waliwahi kuvaa jezi za Blue lini? Au nimesahau mkuu??
 
Kuna wakati nawaza, Yanga wana rangi rasmi yaani kijani, njano, nyeudi na blue.

Kwa nini kusiwe na jezi ya blue na nyeusi au blue na kijani?

Ukichunguza sana timu zinazotumia njano na kijani hazina mafanikio sana kivile ukilinganisha na red, blue white au mchanganyiko wa hizo
Naheshimu mawazo yako japo kua ni potofu
 
Back
Top Bottom