Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

TUNA TOA DRAW NA LITIMU LINACHEZA SHIRIKISHO DAHH UTOPOLO NI UTOPOLO TU [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Ni kweli usemalo Mkuu kocha aijaribu hii huenda ikaleta mabadiliko pale nyuma aisee.
Wanayanga wameshatoa sana maoni yao kuwa Bangala acheze katikati no.6 badala ya kuwekwa kama beki wa nyuma STILL ni kama Nabbi haelewi
 
Kuna wakati nawaza, Yanga wana rangi rasmi yaani kijani, njano, nyeudi na blue.

Kwa nini kusiwe na jezi ya blue na nyeusi au blue na kijani?

Ukichunguza sana timu zinazotumia njano na kijani hazina mafanikio sana kivile ukilinganisha na red, blue white au mchanganyiko wa hizo
Brazil???
 
UKWELI NI KWAMBA MCHEZO WA JANA NDIYO MCHEZO ULIOKUWA RAISI ZAIDI KWA SIMBA KUSHINDA KUTOKANA NA YANGA KUELEKEZA NGUVU NA AKILI ZAO KWA CLUB AFRICA.
JAN A YANGA HAWAKUCHEZA KABISA MPIRA WAO ULE WA PASI NYINGI,KASI YA 5G NA MBINU ZA MAANGAMIZI.

YOTE KWA YOTE,YANGA INAPOTEA SANA KWENYE COUNTER ATTACK.MECHI YA 3 MFULULIZO ANAFUNGWA KWA COUNTER ATTACK.
 
Msimu Huu Timu Yetu Ikiwa Haina Mpira Wachezaji Wetu Hawajipangi Vizuri Kwenye Kuzuia….Sijui Shida Nn Au Ndio Kukosekana Kwa Bangala Kwenye Midfield Ndio Kirusi Chenyewe Sijui!
 
Tatizo letu lipo kwenye safu ya ulinzi,usajili ufuatao tutengeneze safu ya ulinzi na straika mmoja wa kariba ya mayele
Karibu mechi nne zote tunafungwa kwa makosa ya beki
Poor marking likiwa tatizo mama.hata goli la juzi simba ni uzembe wa mabeki kutokaa na watu.
JamiiForums-1412486156.jpg

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
GEITA GOLD LEO TUNAJAMBO LETU
TUTAPIGA PALE AL HILAL ALIPOPIGA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom