Tutumie akili zetu vizuri, kosa kama hilo Yanga analaumiwaje? Halafu tukumbuke huyu mchezaji alikuwa ana-move mpira ameishia akiwa hewani amekuja kutua ardhini anatua ndani ya box sasa maamuzi asemeje? Jaribu ku-replay hiyi clip uone jinsi alivyoukumbatia mpira akapaa nao hewani mpaka anakuja kutua yuko kwenye box! Hivyo kwa tafasiri ya maamuzi ni penalty na mbaya zaidi pointi hazirudi hizo piga ua, galagaza zimeshaenda kwa mwananchi! Na yuko kileleni sasa kwa gap la point 6! Kazi mnayo Mbumbumbu FC