Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20221102-181558_Instagram.jpg
 
Wachezaji Hawa Kwasasa Watupishe Tunawashukuru Kwa Mchango Wao.

1. Kisinda
2.Makambo
3.Moloko
4. Ngushi
5. Bigi
6. Lomalisa
7. Yusuph Athumani
8. David Bryson
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
 
Wachezaji Hawa Kwasasa Watupishe Tunawashukuru Kwa Mchango Wao.

1. Kisinda
2.Makambo
3.Moloko
4. Ngushi
5. Bigi
6. Lomalisa
7. Yusuph Athumani
8. David Bryson
TFF walikuwa wanawasaidia kuepukana na hii dhahma mkawaona wabaya....

Oooh tunamtaka kisinda wetu sijui fyokofyoko kibao ,sasa mnamkataa tena,
Wenzenu walijua kbs kuwa usajili huo ni wa kuliaibisha taifa,unachukuaje REJECT,FAILURE ili akupe makombe

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom