Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Plastics fan wengi wa yanga wanabeza sare ya 1- 1.. ndugu mechi bado hii mbichi.. hata kwa figisu gani al hilal anapasuka vipande vipande khartoum...
 
FT Alhilal 2 Yanga 2

SO

Tunakwenda group stage wanangu msiwaze.....
 
Focus ya Yanga kwa sasa iwe kutengeneza timu itakayokaa pamoja kwa muda mrefu. Naamini ina wachezaji wazuri ambao wakikaa Pamoja kwa muda mrefu wanaweza kuwa tishio huko mbeleni.

Kusonga kwenda makundi kwa sasa ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. Though lolote linaweza kutokea.

Back line ya Yanga ina matundu sana labda kama kocha atakubali kusikiliza ushauri wa kumswitch Bangala to six.

Kila heri huko Sudan, mkishinda mtapokelewa kama wafalme na kuzima kelele za watani
 
Tatizo mnasajiri vizee

Shaban Djuma 43yrs
Bangala 35yrs
Mayele 37yrs
Bigirimana 49yrs
Aucho 41yrs
Kisinda 39yrs

Sasa hawa wanakaaje muda mrefu na wamekuja kula pensheni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…