Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Singida s tawi la yanga,[emoji2][emoji2]wachezaj waliambiwa ukijifany unajua unakatwa mshahara
 
Kama kiwango chake kimeimarika, basi nipo tayari! na kwa moyo mkunjufu kabisa, kufuta kauli yangu.
 
Yanga waendelee kutumia jezi nyeusi kwenye mechi zao kuna kitu ndani yake
Ni mechi mbili ambazo wametumia hii rangi na kuwafanya kila mchezaji atelekeze majukumu yake ipasavyo pasina kuruhusu hali yoyote ya uzembe. Vs Club African kule Tunisia na jana. Nadhani ni vyema waendelee kuitumia hii jezi mechi za mbieleni halafu tuje na hitimisho.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 

Mimi Mwenyew Ni Mmojawapo Wa Aliyekuwa Anaona Kama Vp Dirisha Dogo Yanga Wamuache, Lakini Saiv Naona Huyu Jamaa Ni Kama Fitness Hakuwa Nayo Pale Mwanzoni ila Kama Ataendelea Hivi Na Kuwa Bora Kila Siku Basi Atatufaa Sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…