Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

HAT TRICK YA BOKO INATAMBULIKA FIFA NA CAF[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HAT TRICK YA BOKO INATAMBULIKA FIFA NA CAF[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endeeni kubugia pipi za heroine mkuu ni dhairi imetoka kujidunga Sasa ndiyo ukaandika mikojo hii.
 
Screenshot_20221121-104037_Instagram.jpg
 
Vile Timu ya Wananchi tumepanga Makolo kuisikia kwenye bomba nafasi ya kwanza kama Msimu uliopita hatuna budi kuchukua points tatu kwa Dodoma Jiji leo hapo 16:00Hrs. [emoji1787]

Timu inalelewa na antony mavunde ambaye ni mjumbe wa yanga,kuna nini hapo?MAELEKEZO YAENDELEE
 
Vile Timu ya Wananchi tumepanga Makolo kuisikia kwenye bomba nafasi ya kwanza kama Msimu uliopita hatuna budi kuchukua points tatu kwa Dodoma Jiji leo hapo 16:00Hrs. 🤣
kolo's wana match 2 zaidi na bado hawana uwezo wa kuongoza ligi,tuliwapa ushauri mzuri sana pindi walipoongoza ligi wascreenshoot kabisa msimamo maana wenye nafasi yetu tukikaa pale atushuki tena 😀
 
Back
Top Bottom