Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

IMG_0555.jpg
 
𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦[emoji187]

"Ni kweli tuna takwimu nzuri ambayo ni heshima kwa Klabu. Lakini hatuchezi kwa sababu ya rekodi ya unbeaten, tunacheza kushinda ili tufikie malengo yetu. Kwenye mafanikio yetu hatuna malengo ya unbeaten, tuna malengo ya kutwaa mataji yaliyopo mbele yetu.

Unbeaten ni matokeo sio mafanikio. Sisi tunataka mafanikio" Kocha Msaidizi @CedricKaze1 kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City.

"Aziz Ki na Djigui Diarra wamerejea kutoka kwenye majukumu ya timu zao za Taifa. Vile vile Yannick Bangala amerejea baada ya kumaliza adhabu yake ya kadi tatu za njano" @CedricKaze1 kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City.

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Back
Top Bottom