Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Yaani tunapenda sana mawazo yenu yakiishi namna hii.Timu inalelewa na antony mavunde ambaye ni mjumbe wa yanga,kuna nini hapo?MAELEKEZO YAENDELEE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tunapenda sana mawazo yenu yakiishi namna hii.Timu inalelewa na antony mavunde ambaye ni mjumbe wa yanga,kuna nini hapo?MAELEKEZO YAENDELEE
Asante mamaKama unaamini hivyo basi we ni ndezi sana mkuu?
kolo's a.k.a mbu 3 hawana adabu wanastahili hiki wanachokipata 😀Nakazia Swahiba. 🤣🤣
Hapo lazima apate kigugumizi. [emoji1787]
Vile Timu ya Wananchi tumepanga Makolo kuisikia kwenye bomba nafasi ya kwanza kama Msimu uliopita hatuna budi kuchukua points tatu kwa Dodoma Jiji leo hapo 16:00Hrs. [emoji1787]
Hakika. 😅Ni Suala La Muda Tu. [emoji172][emoji169][emoji1421]
Timu inalelewa na antony mavunde ambaye ni mjumbe wa yanga,kuna nini hapo?MAELEKEZO YAENDELEE
Hii Yanga kufungwa ligi hii labda 2070.Kwahuu mpira wa yanga nadhan niwakati muafaka wachukue nafasi ya waajentina huko wedi kapu...katka mechi 2 zilobaki
Hii hali inafanya nyuzi za kipumbavu kuhusu Yanga zinazoanzishwa na kolo's wakiongozwa na kaka yao popoma zianze kupotea humu