Kumbe namungo inadhaminiwa na GSM sportpesaKama kawaida points 3 tena kibindoni. Hii ndo raha ya kuwa shabiki wa Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Tuwazoee tu hawa ndugu zetu sasa hivi wapo kwenye kipindi kigumu ukizingatia tunachukua ubingwa mpka 2030Wakati unatabiri zile mbili hukukumbuka kabisa hii kitu. Lol.
Hahahaaa. Lol. Poleee.
UmepatiaKila la kheri timu yangu ya namungo
Ft namungo mbili yanga zero
Sent from my M2101K9AG using JamiiForums mobile app
Jamaa Jana kaupiga mwingi Sana.Naona Kisinda kazima maandamano ya Mikia waliodai kuwa tumepigwa…
Kawafunga midomo na bado atawaziba pua na Masikio…
Saafi sana
Nikadhani unalifahamu kabla. 🤣🤣🤣
Hakika.Tuwazoee tu hawa ndugu zetu sasa hivi wapo kwenye kipindi kigumu ukizingatia tunachukua ubingwa mpka 2030
Asante kwa utabiri wako uliotukuka.Kila la kheri timu yangu ya namungo
Ft namungo mbili yanga zero
Sent from my M2101K9AG using JamiiForums mobile app
Ndio unajua leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona bado upo mkuu. Nakukumbusha tu ni miaka 14 na miezi mitano imepita tangu uanzishe huu uzi, kipindi icho mm naisikia sikia tu jf wala siijui vzr, hongera sana.Naona Kisinda kazima maandamano ya Mikia waliodai kuwa tumepigwa…
Kawafunga midomo na bado atawaziba pua na Masikio…
Saafi sana
Kisinda auzwwee hawezi kuisaidia timu kubeba kombeNaona Kisinda kazima maandamano ya Mikia waliodai kuwa tumepigwa…
Kawafunga midomo na bado atawaziba pua na Masikio…
Saafi sana
Hayanaga akili hayo!
Wananchi wa CONGO sawa....Timu ya Wananchi tumeimaliza mzunguko wa kwanza namna hii.
View attachment 2439491
Hahahaaa. LolWananchi wa CONGO sawa....
Shemela lete kikosi wengine tuko off road bana.Hahahaaa. Lol
Kumbe upo. Msalimie Barbara. Teh teh