Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Naona Kisinda kazima maandamano ya Mikia waliodai kuwa tumepigwa…
Kawafunga midomo na bado atawaziba pua na Masikio…

Saafi sana
Naona bado upo mkuu. Nakukumbusha tu ni miaka 14 na miezi mitano imepita tangu uanzishe huu uzi, kipindi icho mm naisikia sikia tu jf wala siijui vzr, hongera sana.
 
Timu ya Wananchi tumeimaliza mzunguko wa kwanza namna hii.
Screenshot_20221208-011834_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom