adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Hata Kocha wa Club African kabla ya mechi ya Dar na baada alivyoulizwa kuwa wachezaji wa Yanga anaowaogopa na kumpa presha aliwataja Mayele na Azizi Ki tena Azizi Ki yeye alisema ndiye anayemuhofia zaidi.Nilisema hapa, Aziz Ki yuko vizuri mno, sema kama Watz tulimpigania Fei toto apate namba, ila hamfikii AZIZ KI.