Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Replacement ya mpemba katika eneo la kiungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za fei kwisha,huyu alimwagwa huko azam alikuwa hana nafasi ktk kikosi nyie mmeokota dah

OKOTA OKOTA FC
GRACE ZOA ZOA FC
UTOPOLO FC
KINYE FC
WEHU FC
WAJINGA FC
VIJORA FC
.
,
.
.
.
.
 
IMG_0485.jpg
 
Kanoute + Mzamiru + Mkude = Mudathir Yahya
 
Hapo unavyoongea unaona aibu[emoji23][emoji23][emoji23]

Mchezaji aliyekosa namba azam unafananisha na ukuta wa berlin unaaongozwa na Puttin?
Huyo umfananishe na Mzamiru si unaonekana kichaa....

Hapo mmeongeza watu wa kukaa bench tu
 
Replacement ya mpemba katika eneo la kiungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za fei kwisha,huyu alimwagwa huko azam alikuwa hana nafasi ktk kikosi nyie mmeokota dah

OKOTA OKOTA FC
GRACE ZOA ZOA FC
UTOPOLO FC
KINYE FC
WEHU FC
WAJINGA FC
VIJORA FC
.
,
.
.
.
.
Niambie namna mlivyowapata Bocco, Manula na Kapombe. Usisahau hata Sureboy alitemwa sisi tukaokota dhababu sasa hivi ana medali ya ligikuu na Azam. Na anakiwasha kwelikweli.
Najua ushasahau mbumbumbu wewe
 
Hapo unavyoongea unaona aibu[emoji23][emoji23][emoji23]

Mchezaji aliyekosa namba azam unafananisha na ukuta wa berlin unaaongozwa na Puttin?
Huyo umfananishe na Mzamiru si unaonekana kichaa....

Hapo mmeongeza watu wa kukaa bench tu

Eti Kiungo Punda [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom