Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

SIMBA TUMEAMKA DUBAI
YANGA WAMEAMKIA MANZESE UWANJA WA FISI[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Nyie Zurureni Tu Huko ila Nafasi Yenu Ni Ya 3.. [emoji23][emoji23]
 
FOOTBALL ECONOMY || Game Changer.
.
Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua.
.
Kamati inataka kusawazisha ubao, inataka kuibeba Yanga, inataka kujisafisha mbele ya Yanga kutokana na mahusiano yao kuanzia kesi ya Morrison na sakata la “Bingwa la Kufeli”.
.
Hakuna mkataba wa kazi duniani hauvunjiki na hakuna namna ya mkataba wa Feisal umeelekeza kwamba hawezi kuuvunja akaondoka. Wanaoimba Busara wanataka Fei aingie upepo na arudi Yanga kutumikia mkataba asoupenda.
.
Waandishi na watu wenye nguvu mitandaoni wanatumika kupotosha hili sakata makusudi ili kutisha wachezaji wazawa waendelee kucheza kwa huruma. Lakini ukweli ni kwamba FEISAL keshaondoka Yanga na sasa au mwisho wa msimu atacheza sehemu nyingine.
.
GENDAEKA wengi wanapiga kelele ili kuifunika Kamati ya hadhi ya wachezaji ambayo kimsingi ni kamati dhaifu. Kwangu mimi hii kesi Feisal anakwenda kushinda CAS au mamlaka za kinchi lakini hawezi kucheza Yanga. Yanga wakubali tu kwamba Feisal ana uwezo wa kununua mkataba wake na akaendelea na maisha mengine.
.
Hili litakua funzo kwa idara za Sheria pamoja na wanaosajili wachezaji na wanaosimamia wachezaji. Niwakumbushe tu, hakuna mkataba usofunjika Duniani kote. Kama Simba walivyovunja mkataba kwa Akpan na Okwa na kama Yanga kwa Kambole.
.
Che Guevara🫡
.
NB:
Vicent Aboubakary baada ya kutakiwa na Man United ameamua kuvunja mkataba na Al Nasry.
.
#FootballEconomy [emoji383] #BrandingIsAnArt [emoji419] #KaribuKaengesa[emoji290]
Reposted from @scanda24
 
Kuvunjwa kwa mkataba ni makubaliano baina pande zote mbili na sio pande moja inaweza kuamua kuvunja

Soma kaelimu kadogo tu kahusucho mikataba utakuwa umeelewa

Yanga wangeweza kuvunja kama wangeshirikishwa ili taratibu zifatwe

Na kama sheria ingeruhusu mchezaji akiamua avunje tu peke yake

Basi timu zote za mpira zingekuwa na msiba

Mfano mosses phir anajikuta tu anaondoka
Leo mayele ajiamulie tu kuondoka au chama

Hivi wenzetu huwa mnatumia makalio kufikir au?

Lazma watu waitame mezani wakae wajadili

Hii ni kwa timu inapotaka kuachana na mchezaji au mchezaji anapotaka kuachana na timu na ikishindikana mchezaji atabaki katika timu mpaka mkataba uishe na ataindoka kama mchezaji huru

Rejea sadio alipotaka kuongezewa mshahara lpool waligoma
Jamaa aliendelea kucheza mpaka mkataba ukafika mwisho
Lpool wakataka wamuongeze kandarasi
Sadio akagomaaaaaa akasepa freee

Mwann hakuamua kuvunja yeye tu?
 
FOOTBALL ECONOMY || Game Changer.
.
Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua.
.
Kamati inataka kusawazisha ubao, inataka kuibeba Yanga, inataka kujisafisha mbele ya Yanga kutokana na mahusiano yao kuanzia kesi ya Morrison na sakata la “Bingwa la Kufeli”.
.
Hakuna mkataba wa kazi duniani hauvunjiki na hakuna namna ya mkataba wa Feisal umeelekeza kwamba hawezi kuuvunja akaondoka. Wanaoimba Busara wanataka Fei aingie upepo na arudi Yanga kutumikia mkataba asoupenda.
.
Waandishi na watu wenye nguvu mitandaoni wanatumika kupotosha hili sakata makusudi ili kutisha wachezaji wazawa waendelee kucheza kwa huruma. Lakini ukweli ni kwamba FEISAL keshaondoka Yanga na sasa au mwisho wa msimu atacheza sehemu nyingine.
.
GENDAEKA wengi wanapiga kelele ili kuifunika Kamati ya hadhi ya wachezaji ambayo kimsingi ni kamati dhaifu. Kwangu mimi hii kesi Feisal anakwenda kushinda CAS au mamlaka za kinchi lakini hawezi kucheza Yanga. Yanga wakubali tu kwamba Feisal ana uwezo wa kununua mkataba wake na akaendelea na maisha mengine.
.
Hili litakua funzo kwa idara za Sheria pamoja na wanaosajili wachezaji na wanaosimamia wachezaji. Niwakumbushe tu, hakuna mkataba usofunjika Duniani kote. Kama Simba walivyovunja mkataba kwa Akpan na Okwa na kama Yanga kwa Kambole.
.
Che Guevara🫡
.
NB:
Vicent Aboubakary baada ya kutakiwa na Man United ameamua kuvunja mkataba na Al Nasry.
.
#FootballEconomy [emoji383] #BrandingIsAnArt [emoji419] #KaribuKaengesa[emoji290]
Reposted from @scanda24
Tofauti ya Aboubakary na Fei ni kwamba mmoja ni mstaarabu na mwingine ni muhuni.
 
SIMBA VS CSKA MOSCOW YA URUSI MABINGWA WA UROPA HAWA

YANGA VS UNYANYEMBE YA VINGUNGUTI MABINGWA WA CHANDIMU HAWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

NIPO UBARUKU
 
Ni kweli hakuna mkataba usiovunjika kati ya Muaniri na Muajiriwa.
sema ishu inakuja namna ya kuuvunja huo mkataba kuna taratibu zake huwezi kurupuka tu km umekunywa chakanka
 
SIMBA VS CSKA MOSCOW YA URUSI MABINGWA WA UROPA HAWA

YANGA VS UNYANYEMBE YA VINGUNGUTI MABINGWA WA CHANDIMU HAWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

NIPO UBARUKU
Wazee wa title alafu hakuna lolote la maana!
 
SIMBA VS CSKA MOSCOW YA URUSI MABINGWA WA UROPA HAWA

YANGA VS UNYANYEMBE YA VINGUNGUTI MABINGWA WA CHANDIMU HAWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

NIPO UBARUKU
Nyie mara hii mtapigwa nyingi na madogo zetu singida
 
Back
Top Bottom