Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Jirani huwa tunakusitiresisha sana yaani.Timubovu saaana hii.
Polee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani huwa tunakusitiresisha sana yaani.Timubovu saaana hii.
Toka lini Mbumbumbu akawa na akili Mkuu. Teh teh. [emoji23][emoji23]
Tutaona mechi ya pili, Yacouba kakaa zaidi ya mwaka lkn kaonyesha kitu fulani. Ila Kambole mmmm hapanaMechi moja tu tena kacheza na amateur zaidi kwenye kikosi. Lomalisa ilimchukua muda gani?
Naona Uto mnaenda kucheza Nusu Fainali [emoji28][emoji28][emoji28]Af Matokeo Yake Ndo Wamezidi Kuumia [emoji28], Yani Anafungwa KMKM Lkn Wao Ndo Wanaoumia, Hivi Mkuu Hawa Wana Akili Kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaa! Walitaka wapate faraja kupitia mechi yetu. [emoji23][emoji23]
SIMBA TUMEAMKA DUBAI
YANGA WAMEAMKIA MANZESE UWANJA WA FISI[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mbona tayari au hujui?Tumuombe Mwigulu atupatie Kazadi, huyu mwamba anajua sN
Kama tayari hongera sana, Mayele, Musonda na Kazadi, kazi wanayoMbona tayari au hujui?
Kwa hiyo mtakuwa na wachezaji wa kigeni 15?Kama tayari hongera sana, Mayele, Musonda na Kazadi, kazi wanayo
Kuvunjwa kwa mkataba ni makubaliano baina pande zote mbili na sio pande moja inaweza kuamua kuvunjaFOOTBALL ECONOMY || Game Changer.
.
Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua.
.
Kamati inataka kusawazisha ubao, inataka kuibeba Yanga, inataka kujisafisha mbele ya Yanga kutokana na mahusiano yao kuanzia kesi ya Morrison na sakata la “Bingwa la Kufeli”.
.
Hakuna mkataba wa kazi duniani hauvunjiki na hakuna namna ya mkataba wa Feisal umeelekeza kwamba hawezi kuuvunja akaondoka. Wanaoimba Busara wanataka Fei aingie upepo na arudi Yanga kutumikia mkataba asoupenda.
.
Waandishi na watu wenye nguvu mitandaoni wanatumika kupotosha hili sakata makusudi ili kutisha wachezaji wazawa waendelee kucheza kwa huruma. Lakini ukweli ni kwamba FEISAL keshaondoka Yanga na sasa au mwisho wa msimu atacheza sehemu nyingine.
.
GENDAEKA wengi wanapiga kelele ili kuifunika Kamati ya hadhi ya wachezaji ambayo kimsingi ni kamati dhaifu. Kwangu mimi hii kesi Feisal anakwenda kushinda CAS au mamlaka za kinchi lakini hawezi kucheza Yanga. Yanga wakubali tu kwamba Feisal ana uwezo wa kununua mkataba wake na akaendelea na maisha mengine.
.
Hili litakua funzo kwa idara za Sheria pamoja na wanaosajili wachezaji na wanaosimamia wachezaji. Niwakumbushe tu, hakuna mkataba usofunjika Duniani kote. Kama Simba walivyovunja mkataba kwa Akpan na Okwa na kama Yanga kwa Kambole.
.
Che Guevara🫡
.
NB:
Vicent Aboubakary baada ya kutakiwa na Man United ameamua kuvunja mkataba na Al Nasry.
.
#FootballEconomy [emoji383] #BrandingIsAnArt [emoji419] #KaribuKaengesa[emoji290]
Reposted from @scanda24
Tofauti ya Aboubakary na Fei ni kwamba mmoja ni mstaarabu na mwingine ni muhuni.FOOTBALL ECONOMY || Game Changer.

FOOTBALL ECONOMY || Game Changer.

Wazee wa title alafu hakuna lolote la maana!SIMBA VS CSKA MOSCOW YA URUSI MABINGWA WA UROPA HAWA
YANGA VS UNYANYEMBE YA VINGUNGUTI MABINGWA WA CHANDIMU HAWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
NIPO UBARUKU
Nyie mara hii mtapigwa nyingi na madogo zetu singidaSIMBA VS CSKA MOSCOW YA URUSI MABINGWA WA UROPA HAWA