Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nilisema hapa, Aziz Ki yuko vizuri mno, sema kama Watz tulimpigania Fei toto apate namba, ila hamfikii AZIZ KI.
Hata Kocha wa Club African kabla ya mechi ya Dar na baada alivyoulizwa kuwa wachezaji wa Yanga anaowaogopa na kumpa presha aliwataja Mayele na Azizi Ki tena Azizi Ki yeye alisema ndiye anayemuhofia zaidi.
 
Hivi hizi pilau hata ukiituma inbox bado inaweza kukulletea mizozo? Mwenye nayo aniwekee pm mimi kama mwananchi niburudike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…