Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi hawajiulizi kwa nini Yanga inapata ligugumizi kuachana na Makambo. Wanadhani Yanga wanamuhitaji Makambo. Taratibu zinawaumiza. Fei naye aendelee kuvumilia mkataba uishe au wakae mezani wayapange
 
MECHI ZA KIRAFIKI LEO
SIMBA VS AL DHAFRA YA DUBAI HUKO


YANGA VS MBUNI YA MBAGALA

KUPANGA NI KUCHAGUA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Mtoa post hata kama nimezaliwa mwaka 2000 ila huwezi nidanganya hvyo na historia zako za ajabu sijui umeokotea wapi
 
Anaandika TOM CRUZ
[emoji599] Hatua kubwa [emoji119]

Hakika vilabu vyetu Tanzania vimepiga hatua kubwa.. Zamani ilikuwa nadra kuona timu kutoka Tanzania inashindana na GIANT kama Tp Mazembe [emoji1078] kumuwania mchezaji na kufanikiwa kushinda vita.

Yanga inamshinda Tp Mazembe [emoji1078], Yanga inampata top score wa ligi kuu ya Zambia [emoji1268]

UNBELIEVABLE [emoji119]

[emoji419] Viongozi wa Tp Mazembe walipanda ndege hadi Zambia kumfata Kennedy Musonda, wakaweka ofa mezani ofa yao haikufikia ile Ya Yanga ...

... Hatimaye Engineer ameshinda vita,, Kennedy Musonda ni Mwananchi [emoji617]

[emoji153] 17 - Games this season [emoji1268]
[emoji460] 11 - Goals

Kennedy Musonda (28) amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga huku kukiwa na kipengele cha kuongeza miaka miwili mingine.. Atalipwa mshahara wa Tsh 11 Milioni kwa mwezi.

NB ; Mayele + Musonda = [emoji95]
 
Tunaombeni machache kuhusu huyu Mwamba.

Ili na Makolo wanufaike kidogo. [emoji28][emoji28]

Huyu Jamaa Ni Mshambuliaji Wa Kati (Kama Mayele)...Ametokea Timu Ya Power Dynamos Ya Ligi Kuu Ya Zambia…Ndiye Aliyekuwa Anaongoza Kwa Magoli Kwenye Ligi Hiyo Msimu Huu…Ana Magoli 11 Katika Mechi 17 Alizocheza.


Hapa Makolo Watachagua Wenyewe Wafungwe Na Mayele, Musonda Au Aziz Ki…Au Wote Kwa Pamoja. [emoji16]
 
Kabisa kabisa yaani Mkuu.

Tunangojea zile nyuzi zao za hovyo wakimfananisha na mchezaji pale kwao kama walivyofanya kwa Mayele ambapo saa hii kila wakiangalia perfomance ya Mayele uzi wao wanaukimbia. 😂😂
 
Kipindi munasajili ili muifunge SIMBA SC ,wenzenu wamehama huko wanasajili ili kuweka heshima Africa.........kupanga ni kuchagua...
Huyo ni Kambole promax[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipindi munasajili ili muifunge SIMBA SC ,wenzenu wamehama huko wanasajili ili kuweka heshima Africa.........kupanga ni kuchagua...
Huyo ni Kambole promax[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heshima Afrika ya kudunguliwa YANO TANO...!!!



MBUMBUMBU WAHED
 
SIMBA TUME DROO NA BINGWA WA UROPA ULAYA

YANGA 1
MBUNI 2


UBARUKU[emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
KONDE BOY WANAOMSUBIR UTOPOLO NI YULE WA AMELOWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…