jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Shida moja akipikea mpira yeye unapoa ila upande wa pasi ni accurateNisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana
Pia kona zake mashine sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida moja akipikea mpira yeye unapoa ila upande wa pasi ni accurateNisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana
Jana kisinda kacheza jamanKisinda na Bigirimana wanastahili nao kupewa mkono wa kwaheri
Amekiwasha sana jana walaiYule Mudathir Yahya ilikuaje akakosa timu kwa miezi 6? Jamaa kakiwasha sana
Uko sahihi ni baadhi ya mashabiki na viongozi ndio wa hovyo.Nisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana
Bigirimana hakai na mpira akipoea anatoa, hakai na mpira sasa sijui hua tunakata afanye nini , hajawahi haribu mechi wala kuchomesha tatizo maneno ya wachambuzi yamekua na nguvu kuliko uhalisiaShida moja akipikea mpira yeye unapoa ila upande wa pasi ni accurate
Pia kona zake mashine sana
Nineongea mimi kwa maoni yangu mambo matatu ambapo mawili mazuri moja tu la kupoza mpira u apokiwa katika speed ndo shida yakeBigirimana hakai na mpira akipoea anatoa, hakai na mpira sasa sijui hua tunakata afanye nini , hajawahi haribu mechi wala kuchomesha tatizo maneno ya wachambuzi yamekua na nguvu kuliko uhalisia
Hakuna mchezaji anakua perfect kila kitu as long as hagharimu timu sioni sababu ya kumtoa mfano Mayele pamoja na kufunga anakosa sana magoli, Aucho ni mzuri kukaba ila mzito kila mchezaji ana mapungufu yakeNineongea mimi kwa maoni yangu mambo matatu ambapo mawili mazuri moja tu la kupoza mpira u apokiwa katika speed ndo shida yake
Ni sahihi na ndio mana sijasema mahala hatufai au hafai elewa hapo mchezaji ambaye nasem hafai kabisaHakuna mchezaji anakua perfect kila kitu as long as hagharimu timu sioni sababu ya kumtoa mfano Mayele pamoja na kufunga anakosa sana magoli, Aucho ni mzuri kukaba ila mzito kila mchezaji ana mapungufu yake
YANO TANO ndio nini wewe Ashura mayutiai?????[emoji196][emoji196][emoji196]Heshima Afrika ya kudunguliwa YANO TANO...!!!
MBUMBUMBU WAHED
Ushawahi kuona uzuri wake?Nisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana
Kisinda kacheza kitu gani yeye ndio ametucheleweshea ushindi. Kwa mchezaji aina yake alipaswa awe hata na assist 5 ila kila akipata mpira anafikiria kufunga yeye ma wakati wakina Mayele unakuta wapo kwenye positionJana kisinda kacheza jaman
Bigirimana hamna kitu mule. Hastahili kabisa kuwepo Yanga labda Ihefu ndio maana amesajili Mudathir na atakayeondoka ili kupisha nafasi ya Doumbia ni BigirinyamaBigirimana hakai na mpira akipoea anatoa, hakai na mpira sasa sijui hua tunakata afanye nini , hajawahi haribu mechi wala kuchomesha tatizo maneno ya wachambuzi yamekua na nguvu kuliko uhalisia
Hili mimi naungana na wewe, huyu na Bacca ni miongoni mwa wachezaji Nabi anawakosea sana kwa kutokuwapa nafasi mara kwa mara ila ni wachezaji wazuri sana. Huyu Kisinda ni mchezaji mbovu anayepewa nafasi nyingi za kucheza na ameshindwa kuonesha ubora wake. Kwanini Birigimana na Bacca nao wasipewe nafasi za kucheza. Bacca kazidiwa nini na Mwamnyeto?Nisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana
Hatuna kiungo kama Bigirimana pale Yanga, tuache unazi, jamaa unamuona hata pasi zake, anavyoreceive na anavyotoa.Bigirimana hamna kitu mule. Hastahili kabisa kuwepo Yanga labda Ihefu ndio maana amesajili Mudathir na atakayeondoka ili kupisha nafasi ya Doumbia ni Bigirinyama
Mimi piaNisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana
Yes, key passes, cross, corner yupo on-timeUshawahi kuona uzuri wake?
Saa nyingine mpira tujifunze kumtazama mchezaji kwa jicho lingine na pia haukumiwe kwake kwa kupewa game time za kutosha. Kuna watu walipiga kelele Lomalisa tumepigwa tumpe mkono wa baibai lakini saivi Lomalisa anawasha moto. Birigimana kama ukimuangalia kwa jicho la kimpira ni mchezaji mzuri sana ila tu kocha hajataka kumuamini.Bigirimana mzr sn, mtulivu na ana fighting spirit.....kisinda na moloko ndio wanazngua, hasa kisinda ni mchoyo, hafany chchte uwanjani....lkn tumuachie nabi aamue na viongozi wasimuingilie
Ndio maana anaanza Aucho Bigirinyama anaanzia bench. Jamaa ni mzito sanaHatuna kiungo kama Bigirimana pale Yanga, tuache unazi, jamaa unamuona hata pasi zake, anavyoreceive na anavyotoa.
Kiungo unataka afanye nini zaidi ya hivyo? Aucho na Bigirimana wanatofauti gani kama sio kupata game nyingi tu?