Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Saa nyingine mpira tujifunze kumtazama mchezaji kwa jicho lingine na pia haukumiwe kwake kwa kupewa game time za kutosha. Kuna watu walipiga kelele Lomalisa tumepigwa tumpe mkono wa baibai lakini saivi Lomalisa anawasha moto. Birigimana kama ukimuangalia kwa jicho la kimpira ni mchezaji mzuri sana ila tu kocha hajataka kumuamini.
Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Yanga. Ana kiwango cha kawaida kinachofaa kuchezewa timu kama Namungo, Kagera na kadhalika sio Yanga
 
timu ya Taifa ya kwao anacheza vizuri tu tena AFCON alikuwepo tupunguze nongwa
Hakuna nongwa mkuu. Kiukweli yule ni average player sio top midfielder kusema anaweza kuwa tishio na kuchukua nafasi au akavaa viatu vya mchezaji wa fisrt team.

Ndio maana anaanza mechi za FA na hizi nyingine anatokea bench napo mara mojamoja.
 
Wangapi humu walimkataa Lomalisa mwanzoni? Una muhukumu Birigimana kwa meichi ngapi alizocheza?
Kwa hiyo kwakua watu kadhaa walimkataa mchezaji halafu saivi anacheza vizuri ndio inamaana gani yani kwa Bigirimana? Unazungumza mambo mawili tofauti?

Kabla hujaniuliza kwa mechi ngapi alizocheza jiulize kwanini mechi alizocheza unazitafuta kwa tochi? Bigirimana ni mchezaji wa kawaida ambaye tunaweza muweke mzani sawa na kina Mauya au hata Kevin Nashon
 
46850f870c55313fea81db30bf68b7b6.jpg
 
Kwa hiyo kwakua watu kadhaa walimkataa mchezaji halafu saivi anacheza vizuri ndio inamaana gani yani kwa Bigirimana? Unazungumza mambo mawili tofauti?

Kabla hujaniuliza kwa mechi ngapi alizocheza jiulize kwanini mechi alizocheza unazitafuta kwa tochi? Bigirimana ni mchezaji wa kawaida ambaye tunaweza muweke mzani sawa na kina Mauya au hata Kevin Nashon
Kwa sasa Bigirimana hana uwezo wa mauya au nashona Mzee baba. Jambo lililo wazi ni kuwa bigirimana aliwahi kuwa mchezaji mzuri hapo zamani na sio sasa.
Tuwa Pale tulipigwa vibaya sana
 
Hakuna nongwa mkuu. Kiukweli yule ni average player sio top midfielder kusema anaweza kuwa tishio na kuchukua nafasi au akavaa viatu vya mchezaji wa fisrt team.

Ndio maana anaanza mechi za FA na hizi nyingine anatokea bench napo mara mojamoja.
Mlisema hv hv kwa Lomalisa, mkasahau kwamba sio mchezaji wa kitanzania yule useme atabaki hivyo hivyo siku zote.
 
Mlisema hv hv kwa Lomalisa, mkasahau kwamba sio mchezaji wa kitanzania yule useme atabaki hivyo hivyo siku zote.
Unachanganya mambo. Sijawahi kusema chochote kuhusu Lomalisa kama una ushahidi letea hapa comment yangu ikimuongelea vyovyote Lomalisa.

Mimi ninamzungumzia Bigirimana vile nilivyomuona kwa muda mchache sawa na nilivyowahi kusema kwa Bernard Morrison kuna mpaka goup la Whatsapp nilitolewa wakisema mimi sio mwana Yanga haya sasaivi kila mtu anajionea. Sisemi am perfect lakini heshimu maoni yangu halafu huwa sibadiliki badiliki hapa kwa Bigirimana hakuna kitu tusitegemee cha ziada.
 
Back
Top Bottom