Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Yanga. Ana kiwango cha kawaida kinachofaa kuchezewa timu kama Namungo, Kagera na kadhalika sio YangaSaa nyingine mpira tujifunze kumtazama mchezaji kwa jicho lingine na pia haukumiwe kwake kwa kupewa game time za kutosha. Kuna watu walipiga kelele Lomalisa tumepigwa tumpe mkono wa baibai lakini saivi Lomalisa anawasha moto. Birigimana kama ukimuangalia kwa jicho la kimpira ni mchezaji mzuri sana ila tu kocha hajataka kumuamini.