Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bigirimana hakai na mpira akipoea anatoa, hakai na mpira sasa sijui hua tunakata afanye nini , hajawahi haribu mechi wala kuchomesha tatizo maneno ya wachambuzi yamekua na nguvu kuliko uhalisia
Nineongea mimi kwa maoni yangu mambo matatu ambapo mawili mazuri moja tu la kupoza mpira u apokiwa katika speed ndo shida yake
 
Nineongea mimi kwa maoni yangu mambo matatu ambapo mawili mazuri moja tu la kupoza mpira u apokiwa katika speed ndo shida yake
Hakuna mchezaji anakua perfect kila kitu as long as hagharimu timu sioni sababu ya kumtoa mfano Mayele pamoja na kufunga anakosa sana magoli, Aucho ni mzuri kukaba ila mzito kila mchezaji ana mapungufu yake
 
Ni sahihi na ndio mana sijasema mahala hatufai au hafai elewa hapo mchezaji ambaye nasem hafai kabisa

Kwanza makambo
Pili makambo
Tatu makambo

Ambundo ni mzuri ila hana utulivu papapapapapakuku nyingi
 
Bigirimana hakai na mpira akipoea anatoa, hakai na mpira sasa sijui hua tunakata afanye nini , hajawahi haribu mechi wala kuchomesha tatizo maneno ya wachambuzi yamekua na nguvu kuliko uhalisia
Bigirimana hamna kitu mule. Hastahili kabisa kuwepo Yanga labda Ihefu ndio maana amesajili Mudathir na atakayeondoka ili kupisha nafasi ya Doumbia ni Bigirinyama
 
Nisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana
Hili mimi naungana na wewe, huyu na Bacca ni miongoni mwa wachezaji Nabi anawakosea sana kwa kutokuwapa nafasi mara kwa mara ila ni wachezaji wazuri sana. Huyu Kisinda ni mchezaji mbovu anayepewa nafasi nyingi za kucheza na ameshindwa kuonesha ubora wake. Kwanini Birigimana na Bacca nao wasipewe nafasi za kucheza. Bacca kazidiwa nini na Mwamnyeto?
 
Bigirimana hamna kitu mule. Hastahili kabisa kuwepo Yanga labda Ihefu ndio maana amesajili Mudathir na atakayeondoka ili kupisha nafasi ya Doumbia ni Bigirinyama
Hatuna kiungo kama Bigirimana pale Yanga, tuache unazi, jamaa unamuona hata pasi zake, anavyoreceive na anavyotoa.
Kiungo unataka afanye nini zaidi ya hivyo? Aucho na Bigirimana wanatofauti gani kama sio kupata game nyingi tu?
 
Bigirimana mzr sn, mtulivu na ana fighting spirit.....kisinda na moloko ndio wanazngua, hasa kisinda ni mchoyo, hafany chchte uwanjani....lkn tumuachie nabi aamue na viongozi wasimuingilie
Saa nyingine mpira tujifunze kumtazama mchezaji kwa jicho lingine na pia haukumiwe kwake kwa kupewa game time za kutosha. Kuna watu walipiga kelele Lomalisa tumepigwa tumpe mkono wa baibai lakini saivi Lomalisa anawasha moto. Birigimana kama ukimuangalia kwa jicho la kimpira ni mchezaji mzuri sana ila tu kocha hajataka kumuamini.
 
Back
Top Bottom