Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Mbumbumbu hizi.mazee ya vikao vya send offNimeamini mashabiki wa Ndunduka FC hayajielewi, yaani yanaacha jamvi la yenyewe yanakuja kujazana huku kwa Yanga!
Mbona kama nimesikia huyu Bigirimana ndo mchezaji wa Kimataifa takayepungua kumpisha Mamadou Dumbia.Natamani Sana Bigirimana Ani Prove Wrong Kama Lomalisa Alivyofanya Na Naamini Jamaa Ana Uwezo..
😂😂😂Ajabu kwenye jukwaa lenu hamukanyagi kabisa mpka pameota majani
Kule site kwao kumetelekezwa unaweza jikatia kiwanja ukajenga! wana wakati mgumu sana ndugu zetu, msiba mwingine leo jioni utasikia, take a pill and chill[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kama nimesikia huyu Bigirimana ndo mchezaji wa Kimataifa takayepungua kumpisha Mamadou Dumbia.
Au ndo tetesi ambazo hazina ukweli wowote.
Wakiwa na vihabari vyao vya kujifariji ndo utawaona wanavitupia. 😅😅Kule site kwao kumetelekezwa unaweza jikatia kiwanja ukajenga! wana wakati mgumu sana ndugu zetu, msiba mwingine leo jioni utasikia, take a pill and chill
Hahahaaa. Hadi nimecheka sana. LolDah [emoji28]View attachment 2491545
Hivyo huyu anachukua nafasi ya nani Mkuu pale nyuma?Dah [emoji28]View attachment 2491545
Hivyo huyu anachukua nafasi ya nani Mkuu pale nyuma?