Mi naonaga kama ndo ingekuwa poa kama inavyofanyika kwenye zile Special Thread za timu za Ulaya.Wakuu hivi ni kwanini wakati wa mechi tusifanye majadiliano humuhumu badala ya kusubiri uanzishwe uzi mmoja ndio makolo nao waanze kutukana.
Tunaanza hiviView attachment 2493069
Sema Mikia hizo nyuzi si ndo wanazipenda. 😂😂😂Wakuu hivi ni kwanini wakati wa mechi tusifanye majadiliano humuhumu badala ya kusubiri uanzishwe uzi mmoja ndio makolo nao waanze kutukana.
Naona leo Musonda anaanza.4-4-2 Hii
Naona leo Musonda anaanza.
Itakuwa poa sana ili apate kujiamini na kufanya makubwa zaidi.Mbele Wawili Leo, Ye Na Mayele… Na Leo Atafunga Goli Musonda [emoji4]
Itakuwa poa sana ili apate kujiamini na kufanya makubwa zaidi.
Ndio maana makolo mostly ndio waanzilushi wa zile nyuzi. Kazi kutukana na wachache ndio unakuta wastaarabu hiyo inatokana na uzi wa kudoda ndio maana wanaanzisha zileMi naonaga kama ndo ingekuwa poa kama inavyofanyika kwenye zile Special Thread za timu za Ulaya.
Halafu jamani mbona huyo Dumbia sijamuona hata kwenye Sub au ndo sijavaa miwani. [emoji28]
Leo tuwa ache huko tuche home groundNdio maana makolo mostly ndio waanzilushi wa zile nyuzi. Kazi kutukana na wachache ndio unakuta wastaarabu hiyo inatokana na uzi wa kudoda ndio maana wanaanzisha zile
Mayele - Musonda4-4-2 Hii
Katoka safarini, kisha mazoezi na timu kafanya siku moja tu. Wangempanga leo wangekuwa wanafosi tu aonekane uwanjani.Halafu jamani mbona huyo Dumbia sijamuona hata kwenye Sub au ndo sijavaa miwani. [emoji28]
Hata 4-1-3-24-4-2 Hii
Nafasi ya beki sio ya ku gamble akifanya makosa ni goli bora mshambuliaji akikosa ni goal kickHalafu jamani mbona huyo Dumbia sijamuona hata kwenye Sub au ndo sijavaa miwani. [emoji28]
Sasa mkuu, hatochezaga?Nafasi ya beki sio ya ku gamble akifanya makosa ni goli bora mshambuliaji akikosa ni goal kick
Nataka niome Musonda akiwa na Mayele from the beginning. Ni utatoa, hutoi? [emoji91][emoji91]
Wana rotate, Mwamnyeto sasa yuko poa sana.Kocha kamwamini Bacca mbele ya Mwamnyeto.