Leo ndio ile siku ya kufunika aibu iliyopatika jana pale Taifa.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Sijawahi furahishwa na uchezaji wa Aucho kwenye namba 6. Hana speed,hashambulii,hapandishi timu!
Huenda kocha anaona sawa tu hivyo sisi hatuna budi kupokea vile anavyoona inafaa.Sijawahi furahishwa na uchezaji wa Aucho kwenye namba 6. Hana speed,hashambulii,hapandishi timu!
Bora acheze 8 na Bangala 6.
Bangala anafit sana 6.
Anyway kila lenye kheri mwananchi!
Sijawahi furahishwa na uchezaji wa Aucho kwenye namba 6. Hana speed,hashambulii,hapandishi timu!
Bora acheze 8 na Bangala 6.
Bangala anafit sana 6.
Anyway kila lenye kheri mwananchi!
Utamuona tu, Nabi ni professional coach hapangi mtu kiholela holela tu, inabidi amuone kwenye ligi kwanza mana beki co kama forward unampanga mechi yoyote tu.Doumbia ana tatizo gani mbona haonekani ?
Mwamyeto karudi kwenye form atulie kwanza hio ni power bankDoumbia ana tatizo gani mbona haonekani ?
Bakari ni beki ya kisasa. Hapa katikati aliyumba kutokana na stress za kufiwa. Hapo kati atasimama NONDO na Doumbia.Mwamyeto karudi kwenye form atulie kwanza hio ni power bank
Noted MkuuMkuu Hapo Kuna Namba Sita Wawili Bangala Na Mudathir Ndio Wanaocheza Chini Af Aucho Anakuwa Juu Yao.
Uselfish vani labda alio nao twambie wewe ili sisi tujue kwanza ni uselfish gani unauongelea isije ikawa ni ule wa kurudi kinyume nyume na yeye akawa hataki alafu ndo mkaanza kumuambia kuwa ni selfish!!Ifike time Mayele aambiwe ukweli, amekua too selfish
Ila ndo huyohuyo kawatengenezea wenzake nafasi kwa dribbling na pass zake, tena wakazichezea mpaka Kisinda kuja kugeuza mojawapo kuwa assist.Ifike time Mayele aambiwe ukweli, amekua too selfish
Dah aisee umemkosea sn Mayele mkuu, amekiwasha sn jana licha ya kwamba hakufunga, ofcz yes, kwa striker mfano wa Mayele lazima uwe mchoyo lkn ukiachana na uchoyo wake kwa asilimia kubwa yeye ndiye aliyesababisha ushindi wa jana, wacongo walimkaba sn kumbe wakasahau watu wengine, na hiyo ndiyo advantage ya kuwa na Mayele uwanjani.Ifike time Mayele aambiwe ukweli, amekua too selfish
Isitoshe Mayele anarudi mpaka chini kukaba na kupora mipira, Yanga hatujawahi kuwa na striker mfano wake tangu timu ianzishwe, ogopa matapeli nasema hakuna.Ila ndo huyohuyo kawatengenezea wenzake nafasi kwa dribbling na pass zake, tena wakazichezea mpaka Kisinda kuja kugeuza mojawapo kuwa assist.
Mayele leo kapambana mno, tuwe na shukrani, hamna striker asiyetaka kufunga, that's natural, yeye ni striker sio midfielder, na striker lengo lake mchezoni ni kufunga goli ... kuna kipindi unamwona yuko mwenyewe mbele lakini anahold mpira, ana dribble mpaka wenzake wanafika na anawapa pasi.
Unawezaje kuongelea goli la 3 bila mchango wake?
Noted with thanks [emoji1666]Ila ndo huyohuyo kawatengenezea wenzake nafasi kwa dribbling na pass zake, tena wakazichezea mpaka Kisinda kuja kugeuza mojawapo kuwa assist.
Mayele leo kapambana mno, tuwe na shukrani, hamna striker asiyetaka kufunga, that's natural, yeye ni striker sio midfielder, na striker lengo lake mchezoni ni kufunga goli ... kuna kipindi unamwona yuko mwenyewe mbele lakini anahold mpira, ana dribble mpaka wenzake wanafika na anawapa pasi.
Unawezaje kuongelea goli la 3 bila mchango wake?