Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20230219_132754_Instagram.jpg
 
Ifike time Mayele aambiwe ukweli, amekua too selfish
Ila ndo huyohuyo kawatengenezea wenzake nafasi kwa dribbling na pass zake, tena wakazichezea mpaka Kisinda kuja kugeuza mojawapo kuwa assist.

Mayele leo kapambana mno, tuwe na shukrani, hamna striker asiyetaka kufunga, that's natural, yeye ni striker sio midfielder, na striker lengo lake mchezoni ni kufunga goli ... kuna kipindi unamwona yuko mwenyewe mbele lakini anahold mpira, ana dribble mpaka wenzake wanafika na anawapa pasi.

Unawezaje kuongelea goli la 3 bila mchango wake?
 
Dah aisee umemkosea sn Mayele mkuu, amekiwasha sn jana licha ya kwamba hakufunga, ofcz yes, kwa striker mfano wa Mayele lazima uwe mchoyo lkn ukiachana na uchoyo wake kwa asilimia kubwa yeye ndiye aliyesababisha ushindi wa jana, wacongo walimkaba sn kumbe wakasahau watu wengine, na hiyo ndiyo advantage ya kuwa na Mayele uwanjani.
 
Ila ndo huyohuyo kawatengenezea wenzake nafasi kwa dribbling na pass zake, tena wakazichezea mpaka Kisinda kuja kugeuza mojawapo kuwa assist.

Mayele leo kapambana mno, tuwe na shukrani, hamna striker asiyetaka kufunga, that's natural, yeye ni striker sio midfielder, na striker lengo lake mchezoni ni kufunga goli ... kuna kipindi unamwona yuko mwenyewe mbele lakini anahold mpira, ana dribble mpaka wenzake wanafika na anawapa pasi.

Unawezaje kuongelea goli la 3 bila mchango wake?
Isitoshe Mayele anarudi mpaka chini kukaba na kupora mipira, Yanga hatujawahi kuwa na striker mfano wake tangu timu ianzishwe, ogopa matapeli nasema hakuna.
 
Ila ndo huyohuyo kawatengenezea wenzake nafasi kwa dribbling na pass zake, tena wakazichezea mpaka Kisinda kuja kugeuza mojawapo kuwa assist.

Mayele leo kapambana mno, tuwe na shukrani, hamna striker asiyetaka kufunga, that's natural, yeye ni striker sio midfielder, na striker lengo lake mchezoni ni kufunga goli ... kuna kipindi unamwona yuko mwenyewe mbele lakini anahold mpira, ana dribble mpaka wenzake wanafika na anawapa pasi.

Unawezaje kuongelea goli la 3 bila mchango wake?
Noted with thanks [emoji1666]
 
Back
Top Bottom